Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

Kwani mbowe nae ni billionea. Wapo akina Ahmed Shabiby , abood , kishimba n.k.
 
Wapo akina Abood, Msukuma, Kishimba Gwajima na wengine tu kwani shida nn Mangi?????
 
Alie bakia billionaire ni KING MSUKUMA tuu ndo maana anawakashifu wasomi wenye PhD, professor, na wenye vi bachelor,

Ila ukiwa na hela dah unaweza jiita mm STD II or 0 ila natoa ushauri hivi kwa wasomi na ukafuatwa chap chap
 
Mpaka posho itoke tutaona mengi sn
 
Jumanne Kishimba Standard 7, Mbunge wa Kahama Mjini..
Rwanda, Burundi na Uganda anajulika sanaa kwa uwekezaji alioufanya kuliko hapa BongoLand
 
kama unamjua Mbowe kutokea bungeni huwezi kuelewa haya mambo

billionea mbowe, ivi nyie mnadhan kua billionea ni kua KUB, duniani kuna mabilionea 1500 only! au unaongelea billionea wa tsh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…