Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

billionea mbowe, ivi nyie mnadhan kua billionea ni kua KUB, duniani kuna mabilionea 1500 only! au unaongelea billionea wa tsh?
Hivi bilionea Laizer walim term vile kwa Tsh au dola? Remember ni serikali ndio ilimtangaza kama bilionea, yaani the new bilinear in town
 
Hivi bilionea Laizer walim term vile kwa Tsh au dola? Remember ni serikali ndio ilimtangaza kama bilionea, yaani the new bilinear in town

yule ni billionea in tsh, ndo maaana nkauliza mapema, lakini ubilionea wa modewji sio tsh , kwa namna hio huwezi kuwaweka kwenye kundi moja modewji, rostam aziz na mbowe, rostam mwenyewe sio billionea ni millionaire, billionea ni mmoja tu east and central afrika hakuna mwingine, afrika nzima wapo 12 tu, to attain that status ya billionea isnt a joke

- na pia inategemea ofisi yenu ya chama ina hali gani 😂
 
Bungeni Kuna mzee kishimba, darasa la Saba.
Alkua anamiliki meli za mizigo.

Naskia
Kule bukoba alijenga bandali yake mwenyewe kwa ajili ya meli zake.
 
billionea mbowe, ivi nyie mnadhan kua billionea ni kua KUB, duniani kuna mabilionea 1500 only! au unaongelea billionea wa tsh?
Wee unaongelea mabilionea wa dollar.

Sisi tunazungumzia mabilionea wa Tsh.
 
Sabufa.
Chenji ya matibabu ambayo imeenda shule bado hajaigusa.
Sema tu Hana akili ya ku invest maana kichwa kimejaa madudu hako ka akili kadogo kalikobaki kanawaza jinsi ya kusema Mbowe na kumuadhibu Lissu
 
Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses.

Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia sekta binafsi ambayo ndio injini ya uchumi.

Je, kuna bilionea yoyote kabakia kule bungeni?

Ramadan Kareem!
Kukaa ukijadili utajiri wa mwenzio kunapoteza muda ambao mtu ungeutumia kujishughulisha na kitu cha kukuingizia kipato. Badala yake unaupoteza huo muda na baadaye unalalamika maisha magumu wakati muda ulikuwa nao ukaupoteza kwa mawazo ya alinacha. Hivi mjadala kuhusu utajiri wa mtu fulani una tija gani kwa wewe mtu mwingine? Watanzania tuondokane na tabia hizi.
 
Wee unaongelea mabilionea wa dollar.

Sisi tunazungumzia mabilionea wa Tsh.

sasa huyu haitwi billionea because tsh sio global exchange currency, na pia hata bil 1 ya tsh kuipata sio an easy task at all, kumjua billionea ni kind easy, kitendo tu cha kusema kwamba aliletewa kodi ya mil 50 akakimbia nchi then hawezi kua billionea kwa sababu matajiri wengi wanasifika kwa madeni
 
Ilikua billion 2 bhana, nlimskiliza vema kabisa Kwny press yake
 
Bilionea Mbowe katisha yaani wamefunga accounts zake za biashara ,wakafunga ya mshahara halafu Bilionea anadunda tu hakuunga mkono juhudi za MEKO.
Huwezi kutoka maporini huko Katoro eti uje udhibiti mabilionea na wawekezaji wa kimataifa kwa kufunga hivi viakaunti vya madafu ukafanikiwa .
 
Aliyeharibu shamba la kisasa la Mbowe hakuwa Sabaya , yeye alikuwa anaitwa Byakanwa , baada ya hapo akapandishwa na kuwa RC wa Mtwara , Magufuli aliwapandisha vyeo wote waliovunja sheria ili kumfurahisha
Ila wacheni Mungu aitwe Mungu,hivi asingeingilia kati hadi 2025 tungekuwa na Taifa la aina gani?
 
yule ni billionea in tsh, ndo maaana nkauliza mapema, lakini ubilionea wa modewji sio tsh , kwa namna hio huwezi kuwaweka kwenye kundi moja modewji, rostam aziz na mbowe, rostam mwenyewe sio billionea ni millionaire, billionea ni mmoja tu east and central afrika hakuna mwingine, afrika nzima wapo 12 tu, to attain that status ya billionea isnt a joke

- na pia inategemea ofisi yenu ya chama ina hali gani 😂
Aise; umeeleza vizuri sana but mwishoni ndio ulipo haribu; hivi ni kwanini kila anae pingana na nyie hua mnadhani ni mwana cha wa chama fulani? Aliyetangaza ubilionea wa Laizer ni BOT na wizara kwa pamoja, wewe mkereketwa hukuwahi kukosoa hilo hadi Mbowe kutajwa? Is like nyie hua mnachuki binafsi na baadhi ya watu wakati sisi wengine ambao hatumiliki kadi ya chama chochote tuko very free, tunaweza kumkosoa yoyote na kumuunga mkono pia yeyote; angalini nyie mlivyo poteana baada ya mhe Magufuli kuitwa mbele za haki; hamuelewi muunge mkno misimamo mipya au mmpinge kama sisi. Tumieni akili zenu kufikiri badala ya kufikiria kwa kutumia CHOMBO au chama.
 
Back
Top Bottom