Baada ya kutumika kwenye uchaguzi mkuu Wamachinga waanza kukiona cha moto

Baada ya kutumika kwenye uchaguzi mkuu Wamachinga waanza kukiona cha moto

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio habari mpya baada ya bunge kuzinduliwa .

- NaBado... Muda wa Uchaguzi umeisha Sasa ni - kuisoma_namba. Ila hakuchagui mtu. ( 800 X 640 ).jpg
 
Lissu aliwaambia atawatengenezea utaratibu mzuri badala ya kuzurura basi acha waisome namba, hata huku ofisini kwetu wameweka biashara zao hadi kwenye side walks, natoa wito mamlaka husika ziwaondoe haraka sana.
 
Wamachinga wametumikaje?

Dodoma ni jiji linalojengwa kwa sasa kuna ubaya gani wamachinga kuondoka hizo sehemu pengine ili kupisha maboresho?
Mlipowauzia vitambulisho mbona hamkuwakumbusha haya ?
 
Wamachinga wametumikaje?

Dodoma ni jiji linalojengwa kwa sasa kuna ubaya gani wamachinga kuondoka hizo sehemu pengine ili kupisha maboresho?
Kweli lakini hayakuwepo kwenye ilani ya CCM
WEWE unasema hivyo maana yakugusi
 
Back
Top Bottom