Baada ya kutumika kwenye uchaguzi mkuu Wamachinga waanza kukiona cha moto

Baada ya kutumika kwenye uchaguzi mkuu Wamachinga waanza kukiona cha moto

Pagumu hapo, dada yangu. Utajipangaje wakati mwenzio anakuja na kura kwenye mabegi? Unahitaji wapigakura wangapi kumshinda mtu anayepigia kura nyumbani na kuzihamishia kwenye vituo vya kura alfajiri?
Pole sana dada uchaguzi umeisha na Mbelgiji kawakimbia baada ya kukipa chama mbunge mmoja.

Jipangeni tena.
 
Wawaondoe na huku mbagara, kariakoona mbezi wanatusumbua sana, wamejaa barabarani hatupiti kwa raha😎
 
Back
Top Bottom