Baada ya kutumika kwenye uchaguzi mkuu Wamachinga waanza kukiona cha moto

Baada ya kutumika kwenye uchaguzi mkuu Wamachinga waanza kukiona cha moto

Ila jamani hao chinga hawaonewi maana wanachokifanya siyo kabisa huku mtaani hawapo tena. Kuna sehemu nzuri tu zipo wazi lakini wanaenda kuchafua mazingira mjini mpaka basi yaani mjini panakuwa kama kijijini alafu wamefunga maduka wanahamishia kwenye mwamvuli.
 
Alafu hata siyo wapiga kura kwasababu mazingira wanayokaa hivyo vitambulisho havitunziki Basi tu wamepata kichwa tu Cha 20000 ndo wakaamua kufanya hivyo kukomoa serikali kwa kiburi Cha 20000 na miaka yote niwalewale mpaka uzeeni hawakui kimutaji.
 
Ukweli ni kwamba hawakuipigia CCM kura. Sema tu zile kura za kwenye mabegi zinatufanya wote tuonekane kuwa tunaipenda CCM.
 
Back
Top Bottom