Baada ya kutumika kwenye uchaguzi mkuu Wamachinga waanza kukiona cha moto

Lissu aliwaambia atawatengenezea utaratibu mzuri badala ya kuzurura basi acha waisome namba, hata huku ofisini kwetu wameweka biashara zao hadi kwenye side walks, natoa wito mamlaka husika ziwaondoe haraka sana.
 
Wamachinga wametumikaje?

Dodoma ni jiji linalojengwa kwa sasa kuna ubaya gani wamachinga kuondoka hizo sehemu pengine ili kupisha maboresho?
Mlipowauzia vitambulisho mbona hamkuwakumbusha haya ?
 
Wamachinga wametumikaje?

Dodoma ni jiji linalojengwa kwa sasa kuna ubaya gani wamachinga kuondoka hizo sehemu pengine ili kupisha maboresho?
Kweli lakini hayakuwepo kwenye ilani ya CCM
WEWE unasema hivyo maana yakugusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…