Tulikusikia lakini hatukua na maamuzi, tuliamuliwa awe rais wetu.Tuliwaonya mapema tu
Pole sana dada uchaguzi umeisha na Mbelgiji kawakimbia baada ya kukipa chama mbunge mmoja.
Jipangeni tena.
Sasa wewe unataka wajenge vibanda hata kwenye njia za wapita njia au?
Pale ubungo kwy flyover wameanza kujenga vibanda vya kuuzia wanakuwa kama njiwa vileSasa wewe unataka wajenge vibanda hata kwenye njia za wapita njia au?
Hao zitawakaa sawa siku sii nyingi,hapo wajipange kivingine tu.
Waanze na Kariakoo barabara ya Msimbazi na uhuru, ni mateso makubwa kwa watembea kwa miguu na wenye magari
Kweli kabisaWanakosesha mapato serikali wafanyabiashara kariakoo wanalalamika sana mheshimiwa magufuli alitizame hili
Kumekucha nasema kumekuchaPole sana dada uchaguzi umeisha na Mbelgiji kawakimbia baada ya kukipa chama mbunge mmoja.
Jipangeni tena.