Baada ya kutunisha misuli na kauli za mikwara, hatimaye Tanzania imekubali kuachia korosho kwa kampuni ya Kenya

Baada ya kutunisha misuli na kauli za mikwara, hatimaye Tanzania imekubali kuachia korosho kwa kampuni ya Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hawa majirani wetu kuwaelewa kunahitaji nguvu nyingi sana, wao ni kama kaka aliyebaki kijijini wakati wadogo wake wamekwenda kuneemekea mjini, sasa wakirudi kuwasabahi wazee, huyo kaka anaibuka kwa ukali na chuki zisizokua na mantiki.

Hatimaye wameona busara ya kuruhusu kampuni ya Kenya kununua korosho zao tani laki moja. Hii ni baada ya patashika ya kila siku full mikwara.
-----------------------------------

Arusha. A Kenyan firm will buy at least 100,000 tonnes of raw cashewnuts from Tanzania.
Following an agreement to the effect signed late yesterday evening the government will earn Sh418 billion.
The raw cashews to be exported is part of 213,000 tonnes recently purchased from the farmers under a coordinated operation by the government.
The minister for Industries and Trade Joseph Kakunda said yesterday's agreement was a relief to the government, which has been striving to get market for its raw cashew nuts.
https://www.thecitizen.co.tz/News/K...-of-cashew/1840340-4959484-vs9d34z/index.html
 
Hahahahahahahahhahahahhaaha

Wameona wanajeshi hawawezi kula zote?
Silly move from the word go.
Hivi wakenya lini mtakua na akili?, Magufuli alikataa bei ndogo ambayo wafanyabiashara walitaka kuwapa wakulima, akachimba mkwara ili wapandishe bei, na kweli amefanikiwa kwasababu katika soko la dunia bei ilipanda sana kutokana na Tanzania kukataa kuwauzia wafanyabiashara, hili kampuni la Kenya limekubali kutoa bei iliyopendekezwa na Magufuli, sasa nani mshindi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi..Nasikia bei ni TZS 3800? Hapa JPM amewashika mak*nde..Biashara iendelee
 
Hivi wakenya lini mtakua na akili?, Magufuli alikataa bei ndogo ambayo wafanyabiashara walitaka kuwapa wakulima, akachimba mkwara ili wapandishe bei, na kweli amefanikiwa kwasababu katika soko la dunia bei ilipanda sana kutokana na Tanzania kukataa kuwauzia wafanyabiashara, hili kampuni la Kenya limekubali kutoa bei iliyopendekezwa na Magufuli, sasa nani mshindi?.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kampuni ya Kenya, na hata kampuni ingine nadhani ya India ziliwapa wakulima bei ya juu kuliko serikali yenu.
Hii discussion tulikuwa nayo hapa siku ingine. Hatujasahau.
 
Kampuni ya Kenya, na hata kampuni ingine nadhani ya India ziliwapa wakulima bei ya juu kuliko serikali yenu.
Hii discussion tulikuwa nayo hapa siku ingine. Hatujasahau.
Lete ushahidi acha kuropoka, hili ni tatizo lenu wakenya kujifanya mnajua kila kitu, wewe unadhani ni kitu gani kilisababisha Magufuli aingilie kati?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwani LDC haina kampuni inayoweza kununua hizi korosho na kufanya processing?
Kama sio Kenya mngekuwa wapi?
Kenya hamjali wakulima wenu kwasababu karibu wanasiasa wenu wote ni wafanyabiashara, wakulima wenu wa mahindi wamelalamika sana kwa kupewa bei ndogo, juzi wakulima wenu wa miwa wamelalamikia hilo hilo, hakuna wa kuwasaidia, Tanzania tunamjali sana mwananchi wa chini.

Ninyi wakenya ni vichaa sana, Magufuli angelikatalia hili kampuni lenu, mngesema ana chuki na Kenya, amelikubalia mnasema Tanzania hamna kampuni la kununua kwasababu ni LDC. Sisi tunafanya biashara na nchi yoyote ambayo itakubaliana na taratibu na sheria zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu unakuta zinaenda kubanguliwa kenya ama kokote wanapojua alafu zinakuwa packaged kisha zinawekwa lebel ya made in kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, hizi korosho baadaye zitakuwa ni bidhaa 'Made in Kenya' tena zitafanyiwa packaging moja bab kubwa na ziuzwe kwa bei ya juu kabisa kule nchi za magharibi.
 
Kenya hamjali wakulima wenu kwasababu karibu wanasiasa wenu wote ni wafanyabiashara, wakulima wenu wa mahindi wamelalamika sana kwa kupewa bei ndogo, juzi wakulima wenu wa miwa wamelalamikia hilo hilo, hakuna wa kuwasaidia, Tanzania tunamjali sana mwananchi wa chini.

Ninyi wakenya ni vichaa sana, Magufuli angelikatalia hili kampuni lenu, mngesema ana chuki na Kenya, amelikubalia mnasema Tanzania hamna kampuni la kununua kwasababu ni LDC. Sisi tunafanya biashara na nchi yoyote ambayo itakubaliana na taratibu na sheria zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Magufuli aliwasaidia aje kwa kuwapa wakulima bei ndogo kuliko ile walikuwa wanapewa na makampuni binafsi ikiwemo ya Kenya?

Huyo dikteta wenu amekunja mkia. Ameona ni ujinga alikuwa anafanya. Hizo korosho zote ameona hana kwa kuzipeleka, ikabidi afanye tu chenye kingefanyika miezi kadhaa iliyopita, kuuzia kampuni ya Kenya.
 
The big question should be how much did the Government of Tanzania buy from the farmers and how much are they selling to the Company?? Any one with the facts? If there is a margin....then good job Magufuli!!! If not, it was a waste of time and energy.
 
Magufuli bought from farmers at TSh3,300
Kenyan company had offered - TSh3,500
Indian company had offered - TSh3,800

However, the Kenyan company was buying 100,000 tonnes while the Indian company was only interested in 30,000 tonnes.
Pamoja na makumpuni mengine, serikali ika ingilia kati ikakataza private buyers wote.

I don't know how much Magufuli has sold to the Kenyan company, but what I know for sure is that the farmers got a raw deal.

Indian firm wanted to buy cashews from Tanzania for Sh3,800 per
 
Kwa hivyo kazi yenu ni ukulima, alafu mnazituma Kenya kufanyiwa processing?
Kweli Tanzania ya viwonder.
Nakwambia izo tani laki moja ni tone baharin,korosho ziko nyingi na mmeuziwa zimeshabanguliwa, hatuwez kuziprocess zote, inabidi msiuziwe kabsa ndio labda mtakua na adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Nakwambia izo tani laki moja ni tone baharin,korosho ziko nyingi na mmeuziwa zimeshabanguliwa, hatuwez kuziprocess zote, inabidi msiuziwe kabsa ndio labda mtakua na adabu

Sent using Jamii Forums mobile app

Produce yenu ni 270,000 tonnes.
Yote huuzwa nje.
Kampuni ya Kenya ina uwezo tu wa kununua 100,000 tonnes. Kwa hivyo hivi karibuni ngoja habari ingine kwamba kampuni ingine imenunua.
 
Back
Top Bottom