Baada ya kutunisha misuli na kauli za mikwara, hatimaye Tanzania imekubali kuachia korosho kwa kampuni ya Kenya

Baada ya kutunisha misuli na kauli za mikwara, hatimaye Tanzania imekubali kuachia korosho kwa kampuni ya Kenya

The big question should be how much did the Government of Tanzania buy from the farmers and how much are they selling to the Company?? Any one with the facts? If there is a margin....then good job Magufuli!!! If not, it was a waste of time and energy.
ongeza na hili......

serikali isingeingilia hii biashara wangepata faida kiasi gani kupitia tozo mbalimbali?.........

mind you, purukushani zote zilizofanywa na serikali zimetumia hela nyingi sana! kuanzia uhakiki, usafiri,walipaji n.k n.k
 
Zipo nyingi sana, hata wewe ukitaka unaanzisha minimum ni uwezo wa kununua tani 20 (I stand to be corrected).

However, usichanganye mambo. Sababu kubwa ya kukataa kampuni binafsi zisinunue hata kwa bei waliyoitaja, ni safety net. Msimu wa mvua ulikuwa unakaribia na wanunuzi huwa wanakuwa na issues sana mvua zikianza na hukataa kukusanya au hubadili bei na kupunguza kutokana na gharama za usafiri na unyevu kwenye korosho.

You think they won? Not really, that's 4200/kg and 75 bn Shs margin to the Government of The United Republic of Tanzania. Do your math and come holla at me!

NB: I was really tempted to bay that B-word at the end, But I thought, nah!
 
Boss, kuna gharama za uhakiki, gharama za usafiri (last time nilisikia magari ya jeshi yangetumika kuzisomba), gharama za uhifadhi, depreciation, ushuru plus plus plus... Unaweza kuta serikali ndo imeingiliwa
ukipiga gharama zote unaona bora serikali ingeendelea kukusanya tozo zinazoihusu.........

technically hapa serikali imepoteza hela nyingi......

ukitaka kujua hilo, tazama mapato ya serikali kutokana na korosho last year..... utagundua tumefeli
 
Hivi wakenya lini mtakua na akili?, Magufuli alikataa bei ndogo ambayo wafanyabiashara walitaka kuwapa wakulima, akachimba mkwara ili wapandishe bei, na kweli amefanikiwa kwasababu katika soko la dunia bei ilipanda sana kutokana na Tanzania kukataa kuwauzia wafanyabiashara, hili kampuni la Kenya limekubali kutoa bei iliyopendekezwa na Magufuli, sasa nani mshindi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwez fananisha akili za wakenya na magufl hebu usitetee ujinga wao wako siku mbili mbele kwa kuwaza. Mm ni mtanzania lakini kwa usmart wa akili za uchumi na fursa wakenya wametyzidi hasa huyu magu kaizidiwa sana
 
Watanzania Badala ya kuona wapi tunakosea tunakazana kuponda Wakenya huu ndio UJINGA mkubwa Sana. Wenzenu Madini wanachukua tz Wanasema yanatoka Kenya, now korosho wanachukua wanapark Vizuri wanauza nje wanaandika made from Kenya .wakenya wako intelligent Sana. Wanaona fursa kwa jirani wanaexploit it.. Sasa Nyie wabongo Endeleeni kupiga tu UJINGA hapa Badala ya kuwa na watu smart wa kusaidia nchi hii kuwa kitovu cha export final products Nyie mnakazana kuongea UJINGA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni limbukeni..Ulitaka Tz ijenge viwanda ndani ya miezi miwili? Korosho ikishambaguliwa inapoteza shelflife (inaharibika haraka)
Lazima kuwe na longterm & shorterm solutions..na bidhaa nyingine ni bora uuze zikiwa unprocessed sababu ya kuharibika.
Ukikurupuka usiage mahindi yote TZ iwe unga eti unaongeza value itakubidi uuze hizo tani zote chini ya 60 days ama ungie hasara
 
Kwahivyo korosho zilidondoka kutoka mbinguni kama manna? Kisha mkaziokota na kuanza kuzitafutia soko? Msimu wa kuvuna tena utakapofika wavunja matofali bado watakuwa na kibarua kigumu cha kubangua. Yetu macho.
 
Kwani mahindi ambayo kenya imevuna kwa wingi msimu ya mwaka jana yametoka mbinguni?
Wakulima wanapewa bei ya dharau -ksh 1700 na serikali na bado NCPB imekataa kuchua mali..
Usilete ukanjanja hapa, kenya kuna shida mingi za wakulima kuliko TZ
 
Ukisikia biashara kichaa ndio hii, Kenya ni producer wa Korosho kama sisi, na Korosho zake sio quality kama za kwetu, kitendo cha kuongeza tani 100,000 alizonunua kwetu kitaifanya Kenya itupite hata sisi katika uzalishaji kwani itaonesha ka export zaidi kuliko sisi. Kenya na yeye anataka korosho ili akauze nje kwa faida kubwa hasa bara la marekani na Ulaya ambako ndiko kwenye soko kubwa, ukiachia India ambao wao nao wananunua kwa ajili ya Export ya Cashew Kernel.

Kwa kweli bado sijaona mantiki ya sisi kuwauzia kenya halafu wao wapate faida kuliko sisi. Hapa tumefanya biashara kichaa kabisa.

WAZIRI WA SHERIA ANAUZA KOROSHO, WAKATI WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA YUPO, BODI YA MAZAO IPO, KUNA ELEMENT YA KUTOAMINIANA AU? HAMUONI TATIZO HAPO??????
 
Inaonekana uelewa wako mdogo sana wewe MK254 Hiyo Kampuni inanunua toka Serikalini siyo kwa wakulima. Serikali ndiyo inanunua toka kwa wakulima then inauza. Hivyo hiyo Kampuni yenu inanunua kwa zaidi ya TZS3,300/= au wewe ulifikiri Serikali inanunua toka kwa wakulima then inazichoma moto! You need to be matured bob!!!
Hawezi kuwa matured huyo mbulula. Sahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mahindi ambayo kenya imevuna kwa wingi msimu ya mwaka jana yametoka mbinguni?
Wakulima wanapewa bei ya dharau -ksh 1700 na serikali na bado NCPB imekataa kuchua mali..
Usilete ukanjanja hapa, kenya kuna shida mingi za wakulima kuliko TZ
Usijali, mwaka ujao tutatatua shida za wakulima kwa kutumia KDF kuvuna mahindi.
 
Watanzania Badala ya kuona wapi tunakosea tunakazana kuponda Wakenya huu ndio UJINGA mkubwa Sana. Wenzenu Madini wanachukua tz Wanasema yanatoka Kenya, now korosho wanachukua wanapark Vizuri wanauza nje wanaandika made from Kenya .wakenya wako intelligent Sana. Wanaona fursa kwa jirani wanaexploit it.. Sasa Nyie wabongo Endeleeni kupiga tu UJINGA hapa Badala ya kuwa na watu smart wa kusaidia nchi hii kuwa kitovu cha export final products Nyie mnakazana kuongea UJINGA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio punguani sana, ulitaka tusiuze mazao yetu kabisa, au tatizo ni hilo kampuni la Kenya kununua hizo korosho?, hivi unajua ni bidhaa ngapi za viwandani za Tanzania zinazovuka na kwenda Kenya, kuanzia Azam products, Mo products, Bia, mabati na nyinginezo, mbona husemi watanzania are intelligent?, punguza uzwazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mwendo wa mauzo kwa dollar! Uzuri ni kwamba Serikali ya JPM itakuwa kwenye nafasi ya kujua kodi stahiki inayopaswa kuipata baada ya hili zoezi!
 
Hawa majirani wetu kuwaelewa kunahitaji nguvu nyingi sana, wao ni kama kaka aliyebaki kijijini wakati wadogo wake wamekwenda kuneemekea mjini, sasa wakirudi kuwasabahi wazee, huyo kaka anaibuka kwa ukali na chuki zisizokua na mantiki.

Hatimaye wameona busara ya kuruhusu kampuni ya Kenya kununua korosho zao tani laki moja. Hii ni baada ya patashika ya kila siku full mikwara.
-----------------------------------

Arusha. A Kenyan firm will buy at least 100,000 tonnes of raw cashewnuts from Tanzania.
Following an agreement to the effect signed late yesterday evening the government will earn Sh418 billion.
The raw cashews to be exported is part of 213,000 tonnes recently purchased from the farmers under a coordinated operation by the government.
The minister for Industries and Trade Joseph Kakunda said yesterday's agreement was a relief to the government, which has been striving to get market for its raw cashew nuts.
https://www.thecitizen.co.tz/News/K...-of-cashew/1840340-4959484-vs9d34z/index.html
Mtusamehe bure, yalikua maamuzi ya jiwe siyo ya watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukipiga gharama zote unaona bora serikali ingeendelea kukusanya tozo zinazoihusu.........

technically hapa serikali imepoteza hela nyingi......

ukitaka kujua hilo, tazama mapato ya serikali kutokana na korosho last year..... utagundua tumefeli
Kweli tz tume pata hasara ya korosho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom