Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Its called Market intervention, You posture, raise the price then dump to kenya.Magufuli aliwasaidia aje kwa kuwapa wakulima bei ndogo kuliko ile walikuwa wanapewa na makampuni binafsi ikiwemo ya Kenya?
Huyo dikteta wenu amekunja mkia. Ameona ni ujinga alikuwa anafanya. Hizo korosho zote ameona hana kwa kuzipeleka, ikabidi afanye tu chenye kingefanyika miezi kadhaa iliyopita, kuuzia kampuni ya Kenya.
I saw TZ do this with maize ban in 2015, the situation was so desperate that a bag was selling at ksh4000! Then suddenly TZ dumped..