Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Its called Market intervention, You posture, raise the price then dump to kenya.Magufuli aliwasaidia aje kwa kuwapa wakulima bei ndogo kuliko ile walikuwa wanapewa na makampuni binafsi ikiwemo ya Kenya?
Huyo dikteta wenu amekunja mkia. Ameona ni ujinga alikuwa anafanya. Hizo korosho zote ameona hana kwa kuzipeleka, ikabidi afanye tu chenye kingefanyika miezi kadhaa iliyopita, kuuzia kampuni ya Kenya.
Nipe chanzo cha habar yako.korosho moja wa Pwani wala hata haijauzwa bado.mkoa mmoja tu wa mtwara unatoa mzigo wa adabuProduce yenu ni 270,000 tonnes.
Yote huuzwa nje.
Kampuni ya Kenya ina uwezo tu wa kununua 100,000 tonnes. Kwa hivyo hivi karibuni ngoja habari ingine kwamba kampuni ingine imenunua.
Its called Market intervention, You posture, raise the price then dump to kenya.
I saw TZ do this with maize ban in 2015, the situation was so desperate that a bag was selling at ksh4000! Then suddenly TZ dumped..
Suala kubwa hapo ni kwamba wamenunua kwa shs ngapi kwa kilo.Hawa majirani wetu kuwaelewa kunahitaji nguvu nyingi sana, wao ni kama kaka aliyebaki kijijini wakati wadogo wake wamekwenda kuneemekea mjini, sasa wakirudi kuwasabahi wazee, huyo kaka anaibuka kwa ukali na chuki zisizokua na mantiki.
Hatimaye wameona busara ya kuruhusu kampuni ya Kenya kununua korosho zao tani laki moja. Hii ni baada ya patashika ya kila siku full mikwara.
-----------------------------------
Arusha. A Kenyan firm will buy at least 100,000 tonnes of raw cashewnuts from Tanzania.
Following an agreement to the effect signed late yesterday evening the government will earn Sh418 billion.
The raw cashews to be exported is part of 213,000 tonnes recently purchased from the farmers under a coordinated operation by the government.
The minister for Industries and Trade Joseph Kakunda said yesterday's agreement was a relief to the government, which has been striving to get market for its raw cashew nuts.
https://www.thecitizen.co.tz/News/K...-of-cashew/1840340-4959484-vs9d34z/index.html
Farmers were being given TZS 1500, Magufuli pumped the price to TZS 3300 minimum..Suddenly the world price went up, now its TZS 3850. The JWTZ gets a cool TZS 500 for their efforts to collect the produce and everyone get paid..GeniousIts called unilateral roadside declarations.
The farmers got less money than they would had Magufuli let market forces dictate.
Zimarudishwa kuuzwa Tanzania..!Alafu unakuta zinaenda kubanguliwa kenya ama kokote wanapojua alafu zinakuwa packaged kisha zinawekwa lebel ya made in kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Farmers were being given TZS 1500, Magufuli pumped the price to TZS 3300 minimum..Suddenly the world price went up, now its TZS 3850. The JWTZ gets a cool TZS 500 for their efforts to collect the produce and everyone get paid..Genious
Boss, kuna gharama za uhakiki, gharama za usafiri (last time nilisikia magari ya jeshi yangetumika kuzisomba), gharama za uhifadhi, depreciation, ushuru plus plus plus... Unaweza kuta serikali ndo imeingiliwaSafi..Nasikia bei ni TZS 3800? Hapa JPM amewashika mak*nde..Biashara iendelee
KAMPUNI YENYEWE INAMILIKIWA NA WAHINDI SIJUI NYANGAU YANASHABIKIA NINIThis is the chronology of events.
1. Kenyan company offers Tsh3,500 per tonne (bids for 100,000 tonnes)
2. Indian company offers Tsh3,800 per tonne (bids for 30,000 tonnes)
3. Magufuli bans private buyers
4. Magufuli buys from farmers at Tsh 3,300 per tonne
Don't twist facts. Magufuli bought from farmers for less than they were being offered by Kenya and India.
Go read here - Indian firm wanted to buy cashews from Tanzania for Sh3,800 per
And you have brought no evidence on how much Magufuli has sold to the Kenyan company.
Magufuli openly invited all traders inside and outside TZ to bid for the nuts and gave a deadline with a minimum 3,300 TZS any one who never submitted was locked out and the millitary took over. This after traders gave a mere TZS 1500 per kg that made farmers angryThis is the chronology of events.
1. Kenyan company offers Tsh3,500 per tonne (bids for 100,000 tonnes)
2. Indian company offers Tsh3,800 per tonne (bids for 30,000 tonnes)
3. Magufuli bans private buyers
4. Magufuli buys from farmers at Tsh 3,300 per tonne
Don't twist facts. Magufuli bought from farmers for less than they were being offered by Kenya and India.
Go read here - Indian firm wanted to buy cashews from Tanzania for Sh3,800 per
And you have brought no evidence on how much Magufuli has sold to the Kenyan company.
Inaonekana uelewa wako mdogo sana wewe MK254 Hiyo Kampuni inanunua toka Serikalini siyo kwa wakulima. Serikali ndiyo inanunua toka kwa wakulima then inauza. Hivyo hiyo Kampuni yenu inanunua kwa zaidi ya TZS3,300/= au wewe ulifikiri Serikali inanunua toka kwa wakulima then inazichoma moto! You need to be matured bob!!!Hawa majirani wetu kuwaelewa kunahitaji nguvu nyingi sana, wao ni kama kaka aliyebaki kijijini wakati wadogo wake wamekwenda kuneemekea mjini, sasa wakirudi kuwasabahi wazee, huyo kaka anaibuka kwa ukali na chuki zisizokua na mantiki.
Hatimaye wameona busara ya kuruhusu kampuni ya Kenya kununua korosho zao tani laki moja. Hii ni baada ya patashika ya kila siku full mikwara.
-----------------------------------
Arusha. A Kenyan firm will buy at least 100,000 tonnes of raw cashewnuts from Tanzania.
Following an agreement to the effect signed late yesterday evening the government will earn Sh418 billion.
The raw cashews to be exported is part of 213,000 tonnes recently purchased from the farmers under a coordinated operation by the government.
The minister for Industries and Trade Joseph Kakunda said yesterday's agreement was a relief to the government, which has been striving to get market for its raw cashew nuts.
https://www.thecitizen.co.tz/News/K...-of-cashew/1840340-4959484-vs9d34z/index.html
Are you Indian? We don't care anyway!! Endelea na unyang'au wako huko!Magufuli bought from farmers at TSh3,300
Kenyan company had offered - TSh3,500
Indian company had offered - TSh3,800
However, the Kenyan company was buying 100,000 tonnes while the Indian company was only interested in 30,000 tonnes.
Pamoja na makumpuni mengine, serikali ika ingilia kati ikakataza private buyers wote.
I don't know how much Magufuli has sold to the Kenyan company, but what I know for sure is that the farmers got a raw deal.
Indian firm wanted to buy cashews from Tanzania for Sh3,800 per
Jinga wewe, kwahiyo Magufuli aliamua kununua korosho baada ya makampuni kutoa bei kubwa kuliko iliyopangwa na serikali, kwa akili za namna yako mtaendelea kutandikwa na Alshabab kila siku.Magufuli aliwasaidia aje kwa kuwapa wakulima bei ndogo kuliko ile walikuwa wanapewa na makampuni binafsi ikiwemo ya Kenya?
Huyo dikteta wenu amekunja mkia. Ameona ni ujinga alikuwa anafanya. Hizo korosho zote ameona hana kwa kuzipeleka, ikabidi afanye tu chenye kingefanyika miezi kadhaa iliyopita, kuuzia kampuni ya Kenya.
Hao nyang'au wamepewa hizo korosho bure au?Hawa majirani wetu kuwaelewa kunahitaji nguvu nyingi sana, wao ni kama kaka aliyebaki kijijini wakati wadogo wake wamekwenda kuneemekea mjini, sasa wakirudi kuwasabahi wazee, huyo kaka anaibuka kwa ukali na chuki zisizokua na mantiki.
Hatimaye wameona busara ya kuruhusu kampuni ya Kenya kununua korosho zao tani laki moja. Hii ni baada ya patashika ya kila siku full mikwara.
-----------------------------------
Arusha. A Kenyan firm will buy at least 100,000 tonnes of raw cashewnuts from Tanzania.
Following an agreement to the effect signed late yesterday evening the government will earn Sh418 billion.
The raw cashews to be exported is part of 213,000 tonnes recently purchased from the farmers under a coordinated operation by the government.
The minister for Industries and Trade Joseph Kakunda said yesterday's agreement was a relief to the government, which has been striving to get market for its raw cashew nuts.
Kenyan firm to buy 100,000 tonnes of cashew
Hawa majirani wetu kuwaelewa kunahitaji nguvu nyingi sana, wao ni kama kaka aliyebaki kijijini wakati wadogo wake wamekwenda kuneemekea mjini, sasa wakirudi kuwasabahi wazee, huyo kaka anaibuka kwa ukali na chuki zisizokua na mantiki.
Hatimaye wameona busara ya kuruhusu kampuni ya Kenya kununua korosho zao tani laki moja. Hii ni baada ya patashika ya kila siku full mikwara.
-----------------------------------
Arusha. A Kenyan firm will buy at least 100,000 tonnes of raw cashewnuts from Tanzania.
Following an agreement to the effect signed late yesterday evening the government will earn Sh418 billion.
The raw cashews to be exported is part of 213,000 tonnes recently purchased from the farmers under a coordinated operation by the government.
The minister for Industries and Trade Joseph Kakunda said yesterday's agreement was a relief to the government, which has been striving to get market for its raw cashew nuts.
Kenyan firm to buy 100,000 tonnes of cashew
Inaonekana uelewa wako mdogo sana wewe MK254 Hiyo Kampuni inanunua toka Serikalini siyo kwa wakulima. Serikali ndiyo inanunua toka kwa wakulima then inauza. Hivyo hiyo Kampuni yenu inanunua kwa zaidi ya TZS3,300/= au wewe ulifikiri Serikali inanunua toka kwa wakulima then inazichoma moto! You need to be matured bob!!!
Zipo nyingi sana, hata wewe ukitaka unaanzisha minimum ni uwezo wa kununua tani 20 (I stand to be corrected).Na kwani LDC haina kampuni inayoweza kununua hizi korosho na kufanya processing?
Kama sio Kenya mngekuwa wapi?