Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Paskali Ni genius..sema wengi wanachelewa kumuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakwambia Babaake WanuTumuuliza mzee yeye anapendaje?
View attachment 2435453
Yaani hii nchi kama haujui na ukapewa Safu ya uongozi unaweza kutamani kuja kuona maufanisi na mautaalamu yalivyotamataki nchini...Embu check line up yetu versus nchi zilizoendelea;Itapendeza zaidi, itakuwa kama vile anavyoitwa na kutambulika kwa wengi kiongozi wa juu wa mhimili wa bunge. Imezoeleka kila mtu anamuita Dkt. Tulia, wala siyo Mama Tulia
Ijapokuwa tuzo za udaktari wao zinatofautiana, lakini hadhi zake mbele ya jamii ni kitu cha thamani. Wakati mmoja kaipata tuzo yake kwa kihitimu shahada ya uzamivu, mwingine kaipata kwa kutunukiwa kutokana na mchango wake wenye kuthaminika ndani ya jamii.
Wote ni viongozi wa juu wa mihimili mikuu ya nchi, na wote pia wanastahili kutambulika kwa heshima hiyo ya udaktari kutokana na majukumu yao nyeti ya kikatiba katika nchi yetu. Naunga mkono hoja hii.
Itapendeza zaidi, itakuwa kama vile anavyoitwa na kutambulika kwa wengi kiongozi wa juu wa mhimili wa bunge. Imezoeleka kila mtu anamuita Dkt. Tulia, wala siyo Mama Tulia
Ijapokuwa tuzo za udaktari wao zinatofautiana, lakini hadhi zake mbele ya jamii ni kitu cha thamani. Wakati mmoja kaipata tuzo yake kwa kihitimu shahada ya uzamivu, mwingine kaipata kwa kutunukiwa kutokana na mchango wake wenye kuthaminika ndani ya jamii.
Wote ni viongozi wa juu wa mihimili mikuu ya nchi, na wote pia wanastahili kutambulika kwa heshima hiyo ya udaktari kutokana na majukumu yao nyeti ya kikatiba katika nchi yetu. Naunga mkono hoja hii.
Muite utakavyoweza Cha msingi usimvunjie heshima yake.Wanabodi,
Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama.
Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo Tanzania tulipobahatika kupata rais wa kwanza mwanamke, aliyepatikana kwa kudra tuu za Mwenyeenzi Mungu, tunamuita kwa utangulizi wa jina Mama.
Sasa kwa vile amekuwa daktari, mnaonaje sasa kama officially, tutaachana na kumuita Mama, na badala yake, officially aitwe Dr, halafu ofisini kwake na nyumbani kwake, ndio aendelee kuitwa Mama?.
Lengo la kutoa pendekezo hili, ni kufuatia zile mada zangu za powers, yanayohusiana mambo fulani ya metaphysical, na numerology ya words vibrations, kuna maneno fulani ukitamka, hayo maneno yanatoa powerful vibrations kama kwenye kitu kinachoitwa chanting kwenye dini, Hinduism na Budhism ndio wanatumia sana, ila hata Wakristu kwenye Rozari na Waislamu kwenye Tasbihi, wanatumia chanting.
Jina la Mama likitangulizwa, na kurudiwa rudiwa kunamfanya muhusika kufanya mambo ki mama mama, ki softi softi, kuwa na huruma iliyopitiza hivyo kuna maamuzi magumu atashindwa kabisa kuyatekeleza!. Mfano mtu akiisha itwa mama, ataweza kusaini death warrant?. Wakati wale "jamaa zetu" kuna maamuzi fulani hilazimika kuyachukua, na maamuzi hayo, "ukikosa tuu mara mbili, utatakiwa kuandika maelezo, kwanini umekosa".
Hao jamaa kwenye hizo operesheni maalum za kutokosa mara mbili, kabla hazijatekelezwa lazima mkuu aridhie kwa kuidhinisha kwa maandishi, naniliu zitumike!, sasa mtu akiitwa mama, ataweza kweli kusaini zile nanilii kama za Dodoma, kwenye makazi ya wale naniliu, zitumike?.
Maadam sasa huyu ni dakitari, mnaonaje sasa tukaachana kuitana mama kwenye mambo ya kazkaz halafu akaendelea kuitwa mama na watu wake wa karibu, ofisini na nyumbani kwake, lakini sisi tumuite Dr, ili hata ikibidi kumkoma nyani giladi, unamkoma tuu bila kumuangalia usoni!.
Mnalionaje hili wanabodi, jee tuendelee kumuita mama na yeye kutuita wanangu, hilo mkaliangalie, au sasa tumuite Dr, mambo ya huruma za ki mama mama aziache nyumbani na kwenye familia yake, hapa iwe kazi kazi tuu!.
NB. Hii sio mara yangu ya kwanza kuleta mada humu bila kutaja majina, hata mada hii Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?
Jumapili Njema.
Paskali
ukikurupuka kwa kusoma hutamuelewa mleta mada.kaileta kisayansi sana.Paskali Ni genius..sema wengi wanachelewa kumuelewa
Musukuma PhD Hon CausaNaona sasa hivi vyombo vya habari vinaandika na kusema Rais Dkt Samia inapaswa iwe Rais Samia (PHD Hon Causa).
Honorary degree haitumiki kwenye title lakini Huwa kidogo inashangaza na huenda ni maelekezo kama kawaida kwani ni viongozi wawili tu duniani wameanza kuitulia Honorary doctorate kwenye tittle kwa kuitwa Dr na wapo hapa Tanzania na hawakemei Hilo huenda na wao wanakubali.
Huwezi kusikia Dr Nyerere licha ya kwamba ndio mwenye Honorary Doctorate nyingi zaidi Wala huwezi kusikia Dr Mkapa Wala Dr Ali Hasssan Mwinyi.
Huenda machawa wameanza kufanya vitu mpaka vinaharibu kabisa sasa Ili tu wapate mkate wao.
Inashangaza hata vyombo vya habari vya kuaminika hapa nchini vinaadress hivyohivyo .
Its true, hata lile jina la Mwalimu, limechangia kwenye simplicity, kwa vile kazi ya ualimu bongo ni kazi ya kimasikini, ukiwa rais na kujiita mwalimu, unakuwa kama waalimu, simple, humble and penniless!. Pale Mwitongo, JKT wasingeokoa jahazi sijui ingekuwaje. Mtu ukiitwa mama, unaongea kimama mama, na maamuzi ya kimama, nilishikwa sikio na mtu, kuwa kuna mtu alitumbuliwa kwa kosa tuu la kuonekana kwenye picha kapiga na fulani, mama akamaindi, baada ya kuipata tip hii, nikauliza Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?Mwal. J.K Nyerere, very simple Hadi ameingia kaburini na haikuwahi mpunguzia heshima Wala hadhi yake. It's about impact Wala sio title.
Mimi nitamuita mama.Wanabodi,
Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama.
Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo Tanzania tulipobahatika kupata rais wa kwanza mwanamke, aliyepatikana kwa kudra tuu za Mwenyeenzi Mungu, tunamuita kwa utangulizi wa jina Mama.
Sasa kwa vile amekuwa daktari, mnaonaje sasa kama officially, tutaachana na kumuita Mama, na badala yake, officially aitwe Dr, halafu ofisini kwake na nyumbani kwake, ndio aendelee kuitwa Mama?.
Lengo la kutoa pendekezo hili, ni kufuatia zile mada zangu za powers, majina yana impact kubwa kwa mhusika, hivyo kuna mambo ya metaphysical, na numerology yanayohusiana na majina na matamshi, kwenye words vibrations, kuna maneno fulani ukitamka, hayo maneno yanatoa powerful vibrations kama kwenye kitu kinachoitwa chanting kwenye dini, Hinduism na Budhism ndio wanatumia sana, ila hata Wakristu kwenye Rozari na Waislamu kwenye Tasbihi, wanatumia chanting.
Jina la Mama likitangulizwa, na kurudiwa rudiwa kunamfanya muhusika kufanya mambo ki mama mama, ki softi softi, kuwa na huruma iliyopitiza hivyo kuna maamuzi magumu atashindwa kabisa kuyatekeleza!. Mfano mtu akiisha itwa mama, ataweza kusaini death warrant?. Wakati wale "jamaa zetu" kuna maamuzi fulani hilazimika kuyachukua, na maamuzi hayo, "ukikosa tuu mara mbili, utatakiwa kuandika maelezo, kwanini umekosa".
Hao jamaa kwenye hizo operesheni maalum za kutokosa mara mbili, kabla hazijatekelezwa lazima mkuu aridhie kwa kuidhinisha kwa maandishi, naniliu zitumike!, sasa mtu akiitwa mama, ataweza kweli kusaini zile nanilii kama za Dodoma, kwenye makazi ya wale naniliu, zitumike?.
Maadam sasa huyu ni dakitari, mnaonaje sasa tukaachana kuitana mama kwenye mambo ya kazkaz halafu akaendelea kuitwa mama na watu wake wa karibu, ofisini na nyumbani kwake, lakini sisi tumuite Dr, ili hata ikibidi kumkoma nyani giladi, unamkoma tuu bila kumuangalia usoni!.
Mnalionaje hili wanabodi, jee tuendelee kumuita mama na yeye kutuita wanangu, hilo mkaliangalie, au sasa tumuite Dr, mambo ya huruma za ki mama mama aziache nyumbani na kwenye familia yake, hapa iwe kazi kazi tuu!.
NB. Hii sio mara yangu ya kwanza kuleta mada humu bila kutaja majina, hata mada hii Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?
Jumapili Njema.
Paskali
Hilo Jina hata halimfananii wala haliendani nayeWanabodi,

Its true, hata lile jina la Mwalimu, limechangia kwenye simplicity, kwa vile kazi ya ualimu bongo ni kazi ya kimasikini, ukiwa rais na kujiita mwalimu, unakuwa kama waalimu, simple, humble and penniless!. Pale Mwitongo, JKT wasingeokoa jahazi sijui ingekuwaje. Mtu ukiitwa mama, unaongea kimama mama, na maamuzi ya kimama, nilishikwa sikio na mtu, kuwa kuna mtu alitumbuliwa kwa kosa tuu la kuonekana kwenye picha kapiga na fulani, mama akamaindi, baada ya kuipata tip hii, nikauliza Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
Ukiitwa Dr. (Ph.D), thinking yako ina change, unaanza kufikiri ki Ph.D!, Ongea yako ina change, unaanza kuongea ki Ph.D. Hii nimeishuhudia kwa Mhe. Joseph Kasheku Musukuma, unadhani sasa anaweza tena kuomba bangi ihalalishwe?. Ile siku ya uchaguzi wa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, ndie mbunge pekee aliyeuliza swali la maana, ambalo lilisaidia kuling'oa kokoro fulani moja kutoka EALA!. Ukiita mama, ni mwendo wa kimama mama, na mambo ya kimama mama, ukiita Dr, ni mwendo wa kidakitari, mambo ya kidakitari
P
Yes rukhsa kumuita mama, hata mimi japo ni babu, kuna watu wananitaga bebi!. Mama mzazi namuita mama, wife namuita mama, binti namuita mami, na mpango kando ni mamaa. Hivyo muite tuu mamaMimi nitamuita mama.
Endelea kupambana ila tambua hata u DC hutopewa, utaendelea kuimba mapambio hewa hadi ukamilifu wa dahari.Wanabodi,
Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama.
Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo Tanzania tulipobahatika kupata rais wa kwanza mwanamke, aliyepatikana kwa kudra tuu za Mwenyeenzi Mungu, tunamuita kwa utangulizi wa jina Mama.
Sasa kwa vile amekuwa daktari, mnaonaje sasa kama officially, tutaachana na kumuita Mama, na badala yake, officially aitwe Dr, halafu ofisini kwake na nyumbani kwake, ndio aendelee kuitwa Mama?.
Lengo la kutoa pendekezo hili, ni kufuatia zile mada zangu za powers, majina yana impact kubwa kwa mhusika, hivyo kuna mambo ya metaphysical, na numerology yanayohusiana na majina na matamshi, kwenye words vibrations, kuna maneno fulani ukitamka, hayo maneno yanatoa powerful vibrations kama kwenye kitu kinachoitwa chanting kwenye dini, Hinduism na Budhism ndio wanatumia sana, ila hata Wakristu kwenye Rozari na Waislamu kwenye Tasbihi, wanatumia chanting.
Jina la Mama likitangulizwa, na kurudiwa rudiwa kunamfanya muhusika kufanya mambo ki mama mama, ki softi softi, kuwa na huruma iliyopitiza hivyo kuna maamuzi magumu atashindwa kabisa kuyatekeleza!. Mfano mtu akiisha itwa mama, ataweza kusaini death warrant?. Wakati wale "jamaa zetu" kuna maamuzi fulani hilazimika kuyachukua, na maamuzi hayo, "ukikosa tuu mara mbili, utatakiwa kuandika maelezo, kwanini umekosa".
Hao jamaa kwenye hizo operesheni maalum za kutokosa mara mbili, kabla hazijatekelezwa lazima mkuu aridhie kwa kuidhinisha kwa maandishi, naniliu zitumike!, sasa mtu akiitwa mama, ataweza kweli kusaini zile nanilii kama za Dodoma, kwenye makazi ya wale naniliu, zitumike?.
Maadam sasa huyu ni dakitari, mnaonaje sasa tukaachana kuitana mama kwenye mambo ya kazkaz halafu akaendelea kuitwa mama na watu wake wa karibu, ofisini na nyumbani kwake, lakini sisi tumuite Dr, ili hata ikibidi kumkoma nyani giladi, unamkoma tuu bila kumuangalia usoni!.
Mnalionaje hili wanabodi, jee tuendelee kumuita mama na yeye kutuita wanangu, hilo mkaliangalie, au sasa tumuite Dr, mambo ya huruma za ki mama mama aziache nyumbani na kwenye familia yake, hapa iwe kazi kazi tuu!.
NB. Hii sio mara yangu ya kwanza kuleta mada humu bila kutaja majina, hata mada hii Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?
Jumapili Njema.
Paskali
Kiukweli vilaza kama wewe Sokwe, nyinyi ndio mnaofanya jf wote tuonekane hatuna maana!. Kwa akili yako fupi, umeona hili ni bandiko la uchawa ili kuusaka u DC?!.Endelea kupambana ila tambua hata u DC hutopewa, utaendelea kuimba mapambio hewa hadi ukamilifu wa dahari.