Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

Haha naona mtoto wa maghorofani
Leo ume attack back,

Ova
 
Unapatana na nani kwenye mambo ya kipuuzi hivi?
Title ya mtu sio jambo la kipuuzi!. Humu kwenye bandiko hili nimezungumzia vitu vitatu, metaphyscs, numerology na chanting!. Kama hujui lolote kuhusu hayo matatu na uhusiano na jina, then bandiko hili sio saizi yako!. We jipitie tuu, nenda kwenye mabandiko ya saizi yako.
P
 
Hata majumbani Mama huwa haogopewi sana kama anavyoogopewa Baba yanapotokea makosa mtu kafanya !! Ndio maana hata akina Mama huwaogopesha watoto wao watukutu kwamba ntakusemea kwa Baba yako. !! Jina la mama kwa watoto wake na wote walioko chini yake huwa ni la mtu mwenye huruma ambaye hawezi kuwaadhibu hata wakifanya makosa makubwa, wanaamini watanyenyekea na kuomba msamaha basi yatakuwa yameisha ! Kwahiyo itakuwa Business as usual !! Naunga mkono hoja Dokta itapendeza zaidi kuliko Mama !!
 
Si mbaya, Hata huyo Yohana mtembezi huwa naishi naye Mara moja moja, ila jaribu na huku kwa Jack mkuu[emoji23]
Mimi imenitokea bahati mbaya na Jack, kila nikimsikia, namkumbuka Kanumba. Exactly two months kabla ya kifo chake nilipandisha bandiko hili Steven Kanumba: Has a Very Touching Story! kisababishi cha kifo cha legendary huyu ni Jack Daniel

P
 
Mkuu Mag3 , umenikumbusha ma life presidents wengine wawili, His Excellency the Life President's of Malawi, Ngwazi DR. Hastings Kamuzu Banda of Malawi, and His Excellency Life President, Dr. Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga of Zaire.
P
 
Wanaangalia namna yakumuongezea mshahara
 
Inasikitisha sana Waafrika tunavyopeleka mambo yetu.
 
Rais Samia alipaswa apewe hiyo doctorate ya heshima toka Mzumbe alikosoma shahada ya juu ya utawala. Hapo Mzumbe ndipo walimpika akawa hivyo alivyo. Cha ajabu Rais Samia kaenda kuokota huko doctorate za ajabu mara eti UDSM etc. Ila navyowajua Mzumbe wapo very strict sidhani kama watampatia tena.
 
Hana u genius wowote ni mfuata upepo wa fursa tu.
Mkuu Yoda , ujiniasi ni relativu, unafuata kanuni za relativiti kama lilivyo ganda la mua la jana!.
Wale waliosoma bandiko hili ile 2014 Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli wananielewa na kunikubali.

Na hawa watakao soma bandiko hili Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
mwaka 2025 ndio watanikubali.

Na wapinzani walio soma bandiko hili la mwaka 2018, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika! wataanza kunikubali baada ya 2030!.
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…