Ni Mtanganyika au Mzanzibar? NijuzeniAwadh ni kati ya wala rushwa wakubwa ndani ya polisi.
Aliwahi kuchukua laki 3 zangu baada ya kumgonga mlevi maeneo ya Dar akiwa RTO bila aibu.
Amesababisha mkewe kuwa mlevi ktk Bar ya Hai Boko mangengeni kwa sababu ya pesa zilizomfanya awe malaya.
Mkew anaishi Mbweni Ubungo.
Huyu aliwekwa pembeni na Siro kwa sababu za uhayawani wake sasa dini imeshika hatamu
Ukweli ndo huo kana roho mbaya sana hako. Haujui kalivyomfanyia Luhaga au?Mengi yatasemwa kufuatia tukio hili, na ukweli utajipambanua wenyewe.
Aiseeee sawa bwanaAnajifanyaga mtemi, acha aonje jiwe
JPM alikuwa kichwa haswaa..sasa hivi tunalazimishwa kujadili upuuzi badala ya mambo ya msingi yenye faida kwa Taifa.Magufuli alitumia sayansi ya siasa, hakutaka machafuko na dhoruba ndio maana akasimamisha shughuli za kisiasa zibaki za majimboni ili kuwanusuru wapinzani na hizi kadhia za polisi.
AiseeeWakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru.
Polisi masikini mwenye mshahara duni anampiga Bilionea mwenye koneksheni ya Dunia bila sababu yoyote, kisa katumwa na ccm! Hakika hii Nchi yapo yanayokuja ambayo hakuna atakayeyazuia
Pia soma=> Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA
Mimi ni mwana mageuzi kwa taarifa Yako. Mbowe ni shida ukienda stand kuu Moshi Kuna bango kubwa hapo likionesha nyie na mama Samia ni damu damu Leo anawapiga virungu mnalalamika.Uchawa ndiyo shida
Maridhiano na mbowe no longer an issue aliacha msitutoe kwenye reli wenye chuki na mbowe. Tuzungumzie current
Vipi Mhuni Sugu anaendeleaje na maumivu ya kipigo cha juzi?Hoja yako ni ipi?
Sugu ni mkora. Anaweza kapigwa kwani majibu ya ovyo na dharau kwa polisi hua hawastahimili.Wakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru.
Polisi masikini mwenye mshahara duni anampiga Bilionea mwenye koneksheni ya Dunia bila sababu yoyote, kisa katumwa na ccm! Hakika hii Nchi yapo yanayokuja ambayo hakuna atakayeyazuia
Pia soma=> Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA