Pre GE2025 Baada ya kuvuja taarifa za Sugu kuendelea kushikiliwa, aachiwa Mchana huu Dar, kapigwa sana

Pre GE2025 Baada ya kuvuja taarifa za Sugu kuendelea kushikiliwa, aachiwa Mchana huu Dar, kapigwa sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Awadh ni kati ya wala rushwa wakubwa ndani ya polisi.
Aliwahi kuchukua laki 3 zangu baada ya kumgonga mlevi maeneo ya Dar akiwa RTO bila aibu.
Amesababisha mkewe kuwa mlevi ktk Bar ya Hai Boko mangengeni kwa sababu ya pesa zilizomfanya awe malaya.
Mkew anaishi Mbweni Ubungo.

Huyu aliwekwa pembeni na Siro kwa sababu za uhayawani wake sasa dini imeshika hatamu
Ni Mtanganyika au Mzanzibar? Nijuzeni
 
Ndio maana askari nami ni maadui wakubwa, huwa nikipata upenyo nadhani wananijua.
Ipo siku nisipoua askari labda sio mimi
 
Magufuli alitumia sayansi ya siasa, hakutaka machafuko na dhoruba ndio maana akasimamisha shughuli za kisiasa zibaki za majimboni ili kuwanusuru wapinzani na hizi kadhia za polisi.
JPM alikuwa kichwa haswaa..sasa hivi tunalazimishwa kujadili upuuzi badala ya mambo ya msingi yenye faida kwa Taifa.
 
Wakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru.

Polisi masikini mwenye mshahara duni anampiga Bilionea mwenye koneksheni ya Dunia bila sababu yoyote, kisa katumwa na ccm! Hakika hii Nchi yapo yanayokuja ambayo hakuna atakayeyazuia

Pia soma=> Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA
Aiseee
 
Uchawa ndiyo shida
Maridhiano na mbowe no longer an issue aliacha msitutoe kwenye reli wenye chuki na mbowe. Tuzungumzie current
Mimi ni mwana mageuzi kwa taarifa Yako. Mbowe ni shida ukienda stand kuu Moshi Kuna bango kubwa hapo likionesha nyie na mama Samia ni damu damu Leo anawapiga virungu mnalalamika.
 
Wakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru.

Polisi masikini mwenye mshahara duni anampiga Bilionea mwenye koneksheni ya Dunia bila sababu yoyote, kisa katumwa na ccm! Hakika hii Nchi yapo yanayokuja ambayo hakuna atakayeyazuia

Pia soma=> Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA
Sugu ni mkora. Anaweza kapigwa kwani majibu ya ovyo na dharau kwa polisi hua hawastahimili.
 
Back
Top Bottom