My friends, ladies and gentlemen,Baada ya kumaliza ibada ya kuwaombea marehemu waliofariki October 29, kanisa sasa liguse familiar za waliopoteza maisha na majeruhi
Vijana waliouawa waliacha wake na watoto na kanisa lina shule zake ingekua vizuri kanisa likaanza kuwatafuta watoto wa waadhirika na kuwapa elimu bure kwenye shule zake hii naona itakua ibada na sadaka nzuri
Twende tukawatafute waliojeruhiwa na kua vilema tuwawezeshe Kila mtu kwa uhitaji wake hii itakua faraja kwao kuliko kuwaacha tu wakihangaika
Nadhani hii itakua nzuri kuliko kuwaombea waliofariki,
Na hao waliouawa tar 29 tutawaombea au tumuachie mama ataamua yeyeMy friends, ladies and gentlemen,
Kalenda ya kanisa katoliki takatifu la mitume kote ulimwenguni inasema,
siku ya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu mote inayojulikana kwa kilatini kama Commemoratio Omnium Fidelium Defunctorum, huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Novemba ili kuwakumbuka, kuwaenzi na kuwaombea waamini wote waliotangulia mbele ya haki.
ile ya juzi ni unafiki wa teki tu na ndio maana ulipuuzwa vizuri sana.
but keshokutwa tarehe 2, ndio haswa siku ya kuwaombea marehemu wote waliorejea kwa Allah.
Innalliylah wa innaillayhi rajir'un 🌹
Yawezekana wewe ni mgeni umefika leo hapo mnapoishi.Kanisa husaidia wenye uhitaji kila iitwayo leo hadi kesho.Baada ya kumaliza ibada ya kuwaombea marehemu waliofariki October 29, kanisa sasa liguse familiar za waliopoteza maisha na majeruhi
Vijana waliouawa waliacha wake na watoto na kanisa lina shule zake ingekua vizuri kanisa likaanza kuwatafuta watoto wa waadhirika na kuwapa elimu bure kwenye shule zake hii naona itakua ibada na sadaka nzuri
Twende tukawatafute waliojeruhiwa na kua vilema tuwawezeshe Kila mtu kwa uhitaji wake hii itakua faraja kwao kuliko kuwaacha tu wakihangaika
Nadhani hii itakua nzuri kuliko kuwaombea waliofariki,
Na tawrifa hutoka kwa ngazi za chini kabisa yaani jumuiya ndogondogoYawezekana wewe ni mgeni umefika leo hapo mnapoishi.Kanisa husaidia wenye uhitaji kila iitwayo leo hadi kesho.
Zingatia maelezo ya msingi kuhusu utaratibu wa kanisa katoliki la mitume na sio unafiki wa machekbob wa teki 🐒Na hao waliouawa tar 29 tutawaombea au tumuachie mama ataamua yeye