Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Unafungua JF unakuta notifications kumi na, unafungua kujua walioreply na kulike comments zako. Unaingia unakuta ni member mmoja kalike comments zako kumi! Si zako tu. Kalike thread nzima. Inakata stimu kabisa maana likes zenyewe siyo sincere.
Basi kwa shingo upande ikanilazimu kuwaignore members wote wenye tabia ya kulike thread nzima.
Experience yangu JF imeboreka sana.
Basi kwa shingo upande ikanilazimu kuwaignore members wote wenye tabia ya kulike thread nzima.
Experience yangu JF imeboreka sana.