Baada ya kuwapuuza wanachama hawa maisha yangu JF yameboreka sana

Baada ya kuwapuuza wanachama hawa maisha yangu JF yameboreka sana

Hiyo inategemea kuna siku mtu anakua ktk mood gani so sio kila unachokifanya usitegemee kupata faida tu na hasara ipo.
 
mtu aki like anoenesha amesoma, inaonesha una gubu sijui we me au ke
 
Back
Top Bottom