Baada ya kuwapuuza wanachama hawa maisha yangu JF yameboreka sana

Unafungua JF unakuta notifications kumi na, unafungua kujua walioreply na kulike comments zako. Unaingia unakuta ni member mmoja kalike comments zako kumi! Si zako tu. Kalike thread nzima. Inakata timu kabisa maana likes zenyewe siyo sincere.

Basi kwa shingo upande ikanilazimu kuwaignore members wote wenye tabia ya kulike thread nzima.

Experience yangu JF imeboreka sana.
Tuliisoma vyema Saikolojia na Kubobea nayo kwa hiki Ulichokiandika hapa tumegundua una Tatizo Kubwa sana la Afya ya Akili linalohitaji Tiba ya haraka Mirembe Dodoma, Lutindi Tanga na Muhimbili National Hospital Dar es Salaam.
 
Kukupinga nimepita na kulike comments zote
1677916170544.jpeg
 
Tuliisoma vyema Saikolojia na Kubobea nayo kwa hiki Ulichokiandika hapa tumegundua una Tatizo Kubwa sana la Afya ya Akili linalohitaji Tiba ya haraka Mirembe Dodoma, Lutindi Tanga na Muhimbili National Hospital Dar es Salaam.
Charismatic fella kama charismatic fella 😎
 
si niliwaambia
😂 naona unajizolea point 3 muhimu
mbona umehama mada sasa ?
Mada ya likes 😂
Ananichosha tu mikono yake na ufahamu wake
Kabisa atafika amechoka sana
Tuliisoma vyema Saikolojia na Kubobea nayo kwa hiki Ulichokiandika hapa tumegundua una Tatizo Kubwa sana la Afya ya Akili linalohitaji Tiba ya haraka Mirembe Dodoma, Lutindi Tanga na Muhimbili National Hospital Dar es Salaam.
Kuna namna hayuko sawa huwezi kumuignore member kwasababu amelike michango yako jukwaani.
 
Hao jamaa Ni wachonganishi kinoma wakikuta unagombana na mtu wana like comment yako unajua yupo upande wako baadae unakuta ka like na comment ya adui yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom