Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Inafikirisha unaweka mchango wako wa mawazo kwenye comment alafu no any reaction. Like ni muhimu ndio maana ikawekwa jf. Ni ishara ya kuwafikia na kukubalika michango yako kwa members.
Hivi Eeh [emoji28]