Baada ya kuwapuuza wanachama hawa maisha yangu JF yameboreka sana

Baada ya kuwapuuza wanachama hawa maisha yangu JF yameboreka sana

Mungu awabariki wanaolike comments zetu maana Kuna muda unakosa like mpaka unajihisi...hee😳 au mi ndo naandika pumbar tu daily. raraa reree , Extrovert , mkwepu jr , Half american ...May God bless you.🙏❤️❤️❤️
Duh hiv kumbe watu huwa mnafatilia likes? Me nmeondoa kabisa kuona notification ya likes...Notification pekee niliyoweka ni ya replies tu bas.
 
Hao jamaa Ni wachonganishi kinoma wakikuta unagombana na mtu wana like comment yako unajua yupo upande wako baadae unakuta ka like na comment ya adui yako
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom