Baada ya kuzikwa kaburini, binadamu huchukua muda gani kuanza kuoza?

Baada ya kuzikwa kaburini, binadamu huchukua muda gani kuanza kuoza?

Joto + mgandamizo, nadhani hata siku mbili hutoboi, unavimba, tumbo lina pasuka, kila kitu kinamwagika sasa ndo muda wa wadudu kufanya yao, yaani wanakufumua fumua hovyo hovyo, halaf mbeleni huko sijui...
Nimepata picha
 
Siku ya 3 ndo unapasuka
 
Naogopa kufa, yani ingekua na namna ya kukimbia hizo mbio zake sijui tu....miguu ingegusa kisogo.
Yaani Mungu kutuwekea kifo naona Kama katuwekea ukatili mkubwa saana. Kuna siku niliona maiti ya jamaa mmoja hivi kafia mtoni akakaa Kama wiki hivi alikuwa akishikwa nyama zinavuka tu... Sikula nyama Kama mwezi hivi.
 
Ndugu zangu , hongereni kwa weekend.

Binadamu akishazikwa kaburini, inamchukua muda kuanza kuoza na hatimae kupoteza sura yake ya awali ?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ki-Biolojia, decomposition husababishwa na bacteria. Sasa bacteria kuishi mahala fulani hutegemea vitu vingi kuwepo au kutokuwepo mahala husika, kama aeration, water, soil texture and so on. Kwa hiyo basi, mtu kuoza inategemea na mahali alipozikwa. Miaka ya nyuma kidogo, Tanzania iliamua kurejesha miili ya mashujaa wake waliokuwa wamezikwa Msumbiji miaka mingi iliyopita, lakini miili hiyo haikuharika, mingine ilionekana kama imezikwa jana tu.
 
Back
Top Bottom