Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu unatakiwa kujua kwamba wadudu hasa bacteria wanao ozesha wengi wapo ndani ya miili yetu na wengi wanafanya kazi au wanapenda kufanya kazi bila oxygen yaani Anaerobic bacteia mfano kwenye utumbo hadi huko ushuzi unapotokea kumejaa bacteria aina tofauti maelfu kwa maelfu tukiwa hai wanafanya kazi nzuri mbalimbali tukifa wanatushughulikia vilivyo ndo maana utumbo ndo huanza kuoza kabla ya chochote, mnakumbuka historia Livingston alipofariki alitolewa utumbo kabla safari ya kupelekwa ulaya haija anza na kwa kifupi jambo hili linatisha sana linaweza likakufanya ukalale msikitini au kanisani lakini haimaanishi wale bacteria watakuonea huruma wale wanafyeka kila kituInategemea na hali ya hewa ya sehemu u
Na umbali wa kabari
Kuna sehemu wanachimba kaburi lina enda mbali sana ambapo haisupport bacterial
Unaweza kuishia kukauka tu
huu uzi nimeusoma nimewaza mengi huenda mleta mada alikua anataka kupoteza ushahidi huwezi taka kujua mtu anaoza ndani ya siku ngapi na KUPOTEZA SURA dah hapa ki detective na kwa sisi tuliofuatilia FBI files kuna mengi nayawaza..... ila hebu atuambie alishamzika mtu wake......Ndugu zangu, hongereni kwa weekend.
Binadamu akishazikwa kaburini, inamchukua muda kuanza kuoza na hatimae kupoteza sura yake ya awali?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app