Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Aisee,,, mwili wa binadamu ni kama mshumaa yani,Naogopa kufa, yani ingekua na namna ya kukimbia hizo mbio zake sijui tu, miguu ingegusa kisogo.
Kuna dogo mmoja aliuawa na wahuni wakabeba pikipiki wakamtupa kichakani ila ile sehemu kulikuwa na jua sana linapiga,. Yani ule mwili wake ndani ya wiki 2 ilikuwa imebaki mifupa tupu. Ndugu walikuja kutambua kwa kuangalia nguo
Mwisho: utakufa tu utake usitake[emoji23][emoji23][emoji23]