Aisee,,, mwili wa binadamu ni kama mshumaa yani,Naogopa kufa, yani ingekua na namna ya kukimbia hizo mbio zake sijui tu, miguu ingegusa kisogo.
If the coffin is sealed in a very wet, heavy clay ground, the body tends to last longer because the air is not getting to the deceased. If the ground is light, dry soil,decomposition is quicker. Generally speaking, a body takes 10 or 15 years to decompose to a skeleton.Ndugu zangu, hongereni kwa weekend.
Binadamu akishazikwa kaburini, inamchukua muda kuanza kuoza na hatimae kupoteza sura yake ya awali?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Achia papa ipasuke mapema maana huko chini kunatishaNaogopa kufa, yani ingekua na namna ya kukimbia hizo mbio zake sijui tu, miguu ingegusa kisogo.
Inategemea kama umekula kifusi na shimo la futi 12 hadi siku 80 ila kama tylies kama la magu ndani ya siku 15 wadudu wanachekelea maana kunakuwa na joto sana mle ndani.Ndugu zangu, hongereni kwa weekend.
Binadamu akishazikwa kaburini, inamchukua muda kuanza kuoza na hatimae kupoteza sura yake ya awali?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Siku 7 unapasuka ubavuni chini kidogo ya pale unakotekenywa.Siku ya 3 ndo unapasuka
Ukiingia mchwari ukaona si utakufa [emoji2][emoji2]Naogopa kufa, yani ingekua na namna ya kukimbia hizo mbio zake sijui tu, miguu ingegusa kisogo.
Mungu hakutuwekea kifo sisi wenyewe tulichagua kifo kwa kutokutii.Yaani Mungu kutuwekea kifo naona Kama katuwekea ukatili mkubwa saana. Kuna siku niliona maiti ya jamaa mmoja hivi kafia mtoni akakaa Kama wiki hivi alikuwa akishikwa nyama zinavuka tu... Sikula nyama Kama mwezi hivi.
Acha uoga wewe mbona kawaida sanaYaani Mungu kutuwekea kifo naona Kama katuwekea ukatili mkubwa saana. Kuna siku niliona maiti ya jamaa mmoja hivi kafia mtoni akakaa Kama wiki hivi alikuwa akishikwa nyama zinavuka tu... Sikula nyama Kama mwezi hivi.
Vipi kwa mfano yule wa chato saa hivi yuko kwenye hali gani[emoji20]Tendo la kuoza huanza pale mtu anapokata roho na akifika kaburini ni mwendelezo tu ambao chini ya masaa 72 sura hubadilika kabisa lakini pia inategemea alikaa muda gani kabla ya kuzikwa
Hapana pale mbugani alikozikwa na lile lingozi alosokotewa kuzikwa ki jadi kwisha siku ile ile kesho yake sikeletoniUmesham-miss Mwendazake? Walimtia dawa nyingi sana sana bado Atakua vizuri hadi sasa.
Hakuna sio tumbo ni ubavuni mwisho wa mbavu chini ya pale unakotekenywagwa ndio panapausukaHiyo ya kupasuka tumbo ndo balaa.
Kifo kinatisha sana wakuu, halafu mimi siku za kariburi nimeingiwa na hofu ya kufa.
Toka pepo, shindwa, toweka...[emoji3][emoji3][emoji3]
Sijawahi kuingia sijui panafananaje sitaki hata kupajuaUkiingia mchwari ukaona si utakufa [emoji2][emoji2]
Mkuu umeandika kwa hisia sana utadhani ulishawahi kufa vile😀😀Joto + mgandamizo, nadhani hata siku mbili hutoboi, unavimba, tumbo lina pasuka, kila kitu kinamwagika sasa ndo muda wa wadudu kufanya yao, yaani wanakufumua fumua hovyo hovyo, halaf mbeleni huko sijui.
Jamani usiku huu tunatishana namna hii?Joto + mgandamizo, nadhani hata siku mbili hutoboi, unavimba, tumbo lina pasuka, kila kitu kinamwagika sasa ndo muda wa wadudu kufanya yao, yaani wanakufumua fumua hovyo hovyo, halaf mbeleni huko sijui.