Inategemea na hali ya hewa ya sehemu u
Na umbali wa kabari
Kuna sehemu wanachimba kaburi lina enda mbali sana ambapo haisupport bacterial
Unaweza kuishia kukauka tu
Ndugu yangu unatakiwa kujua kwamba wadudu hasa bacteria wanao ozesha wengi wapo ndani ya miili yetu na wengi wanafanya kazi au wanapenda kufanya kazi bila oxygen yaani Anaerobic bacteia mfano kwenye utumbo hadi huko ushuzi unapotokea kumejaa bacteria aina tofauti maelfu kwa maelfu tukiwa hai wanafanya kazi nzuri mbalimbali tukifa wanatushughulikia vilivyo ndo maana utumbo ndo huanza kuoza kabla ya chochote, mnakumbuka historia Livingston alipofariki alitolewa utumbo kabla safari ya kupelekwa ulaya haija anza na kwa kifupi jambo hili linatisha sana linaweza likakufanya ukalale msikitini au kanisani lakini haimaanishi wale bacteria watakuonea huruma wale wanafyeka kila kitu
huu uzi nimeusoma nimewaza mengi huenda mleta mada alikua anataka kupoteza ushahidi huwezi taka kujua mtu anaoza ndani ya siku ngapi na KUPOTEZA SURA dah hapa ki detective na kwa sisi tuliofuatilia FBI files kuna mengi nayawaza..... ila hebu atuambie alishamzika mtu wake......
na kwenye kuoza kuna factor nyingi joto mgandamizo wa udongo hali na mahali alipozikwa mtu aina ya udongo na mchanganuo wa kikemikali kwenye udongo..,.