Baada ya kuzinduliwa na Mark Rutte Dutch PM yatua KIA for the first time.

Hii mijitu ya ccm hata uongee lugha gani hawasikii
 
Kila jambo wanaingiza siasa,halafu hawaishi kumtaja Membe
Wanahisi kuwa wanamdhalilisha membe,hawaoni kuwa ndio wanazidi kumpa jina kwa kumtaja taja na kumfatafata
 
wueh! jamaa anajuta kwanini kaanzisha uzii huu. mwacheni sasa auguze majeraha.
 
😁😁😁😁 Kamanda hii kitu inauma kumoyo sana yaani inapenya kama sindano ya kristapen na klorokwin lakini ndio uhalisia huo, sasa tufanyaje? 😂😂😂

Ugua pole tu japo inauma


Viva JPM
VivaTanzania
Viva KLM

Tanzania ndio soko la 4 la KLM lenye faida kubwaaaaaaaaa kinyama yan
 
Aibu itoke wapeeee? Wapeeee?

Kamanda katoa theory nzuri kweli if a + b = c then a = c fanya mchamganuo wako hapo.

Tanzania ni CCM na CCM ni Tanzania hilo wala halihitaji mjadala, hawa nyumbu watakaa sana kuiona chamwino.
 
Ongeza volume kaka Ongezaa….haya majibwa ya CCM wanaomaliza nchi watoke jukwaani
We mshenzi nini? Kama ni njaa inakusumbua omba msaada tukupe, Rais wako kashaleta maelezo kuhusu usalama wa Watanzania huko Kenya, weye ushuzi kunuka kaa kimya
 
Kilichokosewa kipi sasa? Au hii ndege ilishatua hapo kabla nchini Tanzania? Hii ndege ilishamilikiwa hapo kabla na KLM?
Mmekaa kusubiri mambo yaharibike Tanzania lakini instead ndio yanazidi kunoga.
 

Hakuna ninachoumia kwacho. In fact katengenezeni video nyingine inayoonyesha jinsi serikali ya Magufuli inavyofanya vizuri kabisa kiasi kwamba nchi zote duniani zinatuonea wivu. Onyesheni pia jinsi serikali inavyotekeleza ilani yake hadi kufikia nchi kuwa donor country na kuuza nguo za mitumba nje (baada ya Watanzania kuzivaa kwanza).
 
Mbona zipo nyingi tu, tuone #MATAGA kiu yako inakatwa kizalendo.

Ugua pole though
 
Acheni hshabjki wa kijinga basi. Huu ni msimu wa utalii (high season) KLM inatuaga na watalii wengi miaka yote na msimu ukiisha haiendi tena KIA. Baada ya high season mtabaki na Qatar, Condor, ET, KQ, PW na lile janga let ATCL.
Usitudanganye KLM na Ethiopian Airlines ndio ndege zinatozuta sana KIA katika kipindi chote cha mwaka hata wakati wa Low season wanakuja.
 
Mtu akisoma alichoandika huyu mlumumba ataamini kuwa aliandika akiwa amevuta bangi wakati ni umbumbumbu wake tu.
🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Nimekusoma mkuu kwanza watumiaji wa mmea wanajitambua sio kama huyu anayetaka kuichafua ganja
 
Mbona zipo nyingi tu, tuone #MATAGA kiu yako inakatwa kizalendo.

Ugua pole though

I have never been better. Ugueni pole nyie waimba mapambio. Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Panapofanyika jambo la maana huwa hakuna haja ya kulitengenezea video maana halifichiki.
Btw; inakuwaje mnawaachia hiyo "faida kuuubwaa kinyaaamaa" KLM badala ya kuwa ni ya ATCL? You guys were born stupid and you'll remain so all of your miserable lives.
 
30 Jun 2019
100 years of KLM Royal Dutch Airlines

Today the first KLM Boeing 787-10 arrived at Schiphol. This sustainable and energy-efficient aircraft is called ‘Orange Blossom’ and carries the special KLM100 logo. Yesterday, a smashing event kicked off the 100 day countdown to KLM’s 100th anniversary, on 7 October. Both festive occasions are captured in this short video.
 
Acheni hshabjki wa kijinga basi. Huu ni msimu wa utalii (high season) KLM inatuaga na watalii wengi miaka yote na msimu ukiisha haiendi tena KIA. Baada ya high season mtabaki na Qatar, Condor, ET, KQ, PW na lile janga let ATCL.
Kwa Taarifa yako tu iyo ndege itakuwa inapiga masafa ndani ya EAST AFRICA ila kwa kuanza walishachagua ianze na safari za TZ na baadae NAI JKIA itafuata so stay tune just few months to come the plane will land in Nairobi for the fist time.

msikilize hapo mkurugenzi wa KLM KANDA YA EASTERN AFRICA
 
Asante kwa kumpa ukweli huyo kenge anaeishi na kuingiza siku kwa kusifiasifia tu jpm.
 
KIA receives a significant number of dreamliners! ET, Qatar Airways n now KLM!
 
Hizo zote mbwembwe uchwara tu bro.
Siku zote KLM inayotua KIA inanzia Mombasa inakuja KIA na kumalizia DAR. tofauti ni ipi?
Au mnataka kutuaminisha kua serikali ya awamu ya tano kwa utendaji kazi wake imeishawishi KLM kuleta ndege kubwa right?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…