Kuna kusaidiwa na kupigina kwa niaba usa anapigana kwa niaba ya isreilMzee, ukijiingiza vitani usilalamike kwamba adui yako anasaidiwa, si na wewe uwaombe hao wanaomsaidia wakusaidie? Kuwa na nguvu za kijeshi ni pamoja na kuwa na support. Si umeona Urusi inachukua hadi wafungwa na Wakorea Kaskazini kwenda kupigana na Ukraine? Unadhani Ukraine ataanza kujitetea kwamba eti bila wafungwa Urusi haniwezi?