Mbona muongo wewe!?Chuma gani?. Uchaguzi iliyopita wairani walimchagua mgombea asiye wa msimamo mkali na kumpiga Chini mgombea mwenye msimamo mkali wa kiislamu anayeungwa mkono na Khamenei.
Unafaidika nini ukiongopa!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona muongo wewe!?Chuma gani?. Uchaguzi iliyopita wairani walimchagua mgombea asiye wa msimamo mkali na kumpiga Chini mgombea mwenye msimamo mkali wa kiislamu anayeungwa mkono na Khamenei.
Uzushi ni kwa wale wanaoangalia cnn BBC na mavi yao Newyork timesWakuu,
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani akikutana na Balozi wa Iran nchini Lebanon, Mojtaba Amani.
Soma pia: Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Khameneo alieka picha akiwa na Balozi wa Iran nchini Lebanon, mzima wa afya hana kovu hata moja.
Ikumbukwe kuwa mara baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Khameni yupo hoi kitandani, wananchi wa Iran walianza kuchoma mabango ya kiongozi huyo.
View attachment 3155118
Inaonekana huyu baba bado bado yupo sana sana.
tungeona kwenye media zao za propaganda kama Newyork CNN na BBCHao wananchi wanaomchukia ni wangapi?
Ni kiongozi gani na wa nchi gani anayependwa na watu wote?
Kila siku tunaona maandamano,raia hawamtaki Natanyahu,
Umehakikisha kua hiyo clip ni ya kweli?
Utawala za kishia zina misimamo sana sio kama hizi za kisuni ..Iran imetengenezwa haswa kwa jasho na damu na yoyote atakayejaribu kuleta chokochoko kwa kuhongwa jew kutoka western lazima alambe kitanzi hiyo ndo iranHalafu watu wanaongea kama vile Khamenei ndo alikuwa kiongozi baada ya hayo mapinduzi.....kumbe na yy alichaguliwa kwa kura baada ya aliyemtanguliq kung'oka...kwhyo wakae wakijua succession plan ipo nzuri sana tu....akitoka hyo Babu kinakuja chuma kingine
Mdau kasema ukweli wamrengo mkali walimkataaaMbona muongo wewe!?
Unafaidika nini ukiongopa!?
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani akikutana na Balozi wa Iran nchini Lebanon, Mojtaba Amani.
Soma pia: Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Khameneo alieka picha akiwa na Balozi wa Iran nchini Lebanon, mzima wa afya hana kovu hata moja.
Ikumbukwe kuwa mara baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Khameni yupo hoi kitandani, wananchi wa Iran walianza kuchoma mabango ya kiongozi huyo.
View attachment 3155118
Inaonekana huyu baba bado bado yupo sana sana.
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani akikutana na Balozi wa Iran nchini Lebanon, Mojtaba Amani.
Soma pia: Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Khameneo alieka picha akiwa na Balozi wa Iran nchini Lebanon, mzima wa afya hana kovu hata moja.
Ikumbukwe kuwa mara baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Khameni yupo hoi kitandani, wananchi wa Iran walianza kuchoma mabango ya kiongozi huyo.
View attachment 3155118
Inaonekana huyu baba bado bado yupo sana sana.
Wauni wapo kila seem wanasubil wasikie mzee kalala mazima watoke sasa washaingizwa chakike watadakwa mmoja mmoja aliewachuza watamlaaan sana.😀
Yupi mtaje hapa?Mdau kasema ukweli wamrengo mkali walimkataaa
Anaitwa Saidi jalili unaswali lingine mkuuYupi mtaje hapa?
Hata na wewe ni dead walk vp kwanza put in kashakufa au tuendelee kukupuuzaHe is a dead worlk Israel special unity. Huyu hawatamani afe bila wao kumtoa roho trust me hiyo ndio siri kali
Said Jalili alikua mgombea wa nini na aliyechaguliwa badala yake ni nani!?Anaitwa Saidi jalili unaswali lingine mkuu
Anaeamini hivyo ni sawa sawa na wewe huyo. Fiinari Jahannama khaalidina fiiha ABADAN.Halafu hawa Iran ni Mashia, wanaamini mtume alioa makahaba na Quran imechakachúliwa
Sijui hata kama utawala wa Iran unauelewa mjinga.Chuma gani?. Uchaguzi iliyopita wairani walimchagua mgombea asiye wa msimamo mkali na kumpiga Chini mgombea mwenye msimamo mkali wa kiislamu anayeungwa mkono na Khamenei.
Acha ukima wewe mtu mweusi ni kafiri tu hata awe muislam. Jipendekeze tu watakula waleKafiri vipi mbona kama wewe ndio imekuchoma zaidi kuliko niliyemquote? au hii ni ID yako nyingine?
Hiyo tafsiri uliyoiweka hapa labda ni tafsiri ya huko Kijijini kwenu,tumia hata google ili usionekane kua hamnazo.
Neta anawezaj chonanganisha superpower na raia wake ? ina maana Neta ni mkubwa kuliko Ayotollah kiushawish ?Hawamchukii Netapaka Bibi alisema anataka kuchonganisha Uongozi wa Iran na Wananchi na kuushusha uchumi wa Iran. Ndio kama hivi Sasa.....
Rubbish.