Baada ya kuzushiwa kifo na wananchi kuanza kuchoma moto mabango yake, Ali Khamenei wa Iran ajitokeza hadharani akiwa hana hata kovu

Wakuu,

Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani akikutana na Balozi wa Iran nchini Lebanon, Mojtaba Amani.

Soma pia: Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Khameneo alieka picha akiwa na Balozi wa Iran nchini Lebanon, mzima wa afya hana kovu hata moja.

Ikumbukwe kuwa mara baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Khameni yupo hoi kitandani, wananchi wa Iran walianza kuchoma mabango ya kiongozi huyo.

View attachment 3155118

Inaonekana huyu baba bado bado yupo sana sana.
Uzushi ni kwa wale wanaoangalia cnn BBC na mavi yao Newyork times
 
Halafu watu wanaongea kama vile Khamenei ndo alikuwa kiongozi baada ya hayo mapinduzi.....kumbe na yy alichaguliwa kwa kura baada ya aliyemtanguliq kung'oka...kwhyo wakae wakijua succession plan ipo nzuri sana tu....akitoka hyo Babu kinakuja chuma kingine
Utawala za kishia zina misimamo sana sio kama hizi za kisuni ..Iran imetengenezwa haswa kwa jasho na damu na yoyote atakayejaribu kuleta chokochoko kwa kuhongwa jew kutoka western lazima alambe kitanzi hiyo ndo iran
 
Wakuu,

Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani akikutana na Balozi wa Iran nchini Lebanon, Mojtaba Amani.

Soma pia: Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Khameneo alieka picha akiwa na Balozi wa Iran nchini Lebanon, mzima wa afya hana kovu hata moja.

Ikumbukwe kuwa mara baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Khameni yupo hoi kitandani, wananchi wa Iran walianza kuchoma mabango ya kiongozi huyo.

View attachment 3155118

Inaonekana huyu baba bado bado yupo sana sana.
 
Wakuu,

Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani akikutana na Balozi wa Iran nchini Lebanon, Mojtaba Amani.

Soma pia: Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Khameneo alieka picha akiwa na Balozi wa Iran nchini Lebanon, mzima wa afya hana kovu hata moja.

Ikumbukwe kuwa mara baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Khameni yupo hoi kitandani, wananchi wa Iran walianza kuchoma mabango ya kiongozi huyo.

View attachment 3155118

Inaonekana huyu baba bado bado yupo sana sana.

Wananchi wa Iran walio wengi wamewachoka sana hawa wazee.
Mwenye macho haambiwi tazama
 
Wauni wapo kila seem wanasubil wasikie mzee kalala mazima watoke sasa washaingizwa chakike watadakwa mmoja mmoja aliewachuza watamlaaan sana.😀

Wengi wanataka waishi Iran kama nchi nyingine za Middle East.
Hata Saudia mambo yanabadilika
 
Halafu hawa Iran ni Mashia, wanaamini mtume alioa makahaba na Quran imechakachúliwa
Anaeamini hivyo ni sawa sawa na wewe huyo. Fiinari Jahannama khaalidina fiiha ABADAN.
Kwa sababu ALLAH alishamsafisha mke wa mtume na uchafu waliomsingizia.
Sasa wao na waendelee tu kukaza shigo.
ANUR (Qur an. Sura ya 24) Aya ya kwanza mpaka 26 lakini ukipenda unaweza kuanza na Aya ya 11.
 
Chuma gani?. Uchaguzi iliyopita wairani walimchagua mgombea asiye wa msimamo mkali na kumpiga Chini mgombea mwenye msimamo mkali wa kiislamu anayeungwa mkono na Khamenei.
Sijui hata kama utawala wa Iran unauelewa mjinga.
 
Kafiri vipi mbona kama wewe ndio imekuchoma zaidi kuliko niliyemquote? au hii ni ID yako nyingine?

Hiyo tafsiri uliyoiweka hapa labda ni tafsiri ya huko Kijijini kwenu,tumia hata google ili usionekane kua hamnazo.
Acha ukima wewe mtu mweusi ni kafiri tu hata awe muislam. Jipendekeze tu watakula wale
 
Hawamchukii Netapaka Bibi alisema anataka kuchonganisha Uongozi wa Iran na Wananchi na kuushusha uchumi wa Iran. Ndio kama hivi Sasa.....
Neta anawezaj chonanganisha superpower na raia wake ? ina maana Neta ni mkubwa kuliko Ayotollah kiushawish ?
 
Back
Top Bottom