Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Endapo yatakuja kutokea mapinduzi Iran na kuifanya isitawalike, basi raia wake watajuta milele, sababu kuu ni historia ya hiyo nchi kabla ya Mapinduzi ya kiislamu,Yaani ni laana sana hadi wananchi wanakuchukia kiasi hicho Kuna raha Gani ya kuwatawala
historia yake inaonesha nchi ilipitia wakati mgumu sana miaka ya nyuma,
ilikuwa ni sehemu ya watu wa ulaya na Marekani kuja kugawana mafuta na malighafi za hiyo nchi kabla ya Mapinduzi ya kiislamu...
So bado Europe na Amerika (USA) wanaitaka hiyo nchi.. wananchi waache mihemko