Baada ya kuzushiwa kifo na wananchi kuanza kuchoma moto mabango yake, Ali Khamenei wa Iran ajitokeza hadharani akiwa hana hata kovu

Yaani ni laana sana hadi wananchi wanakuchukia kiasi hicho Kuna raha Gani ya kuwatawala
Endapo yatakuja kutokea mapinduzi Iran na kuifanya isitawalike, basi raia wake watajuta milele, sababu kuu ni historia ya hiyo nchi kabla ya Mapinduzi ya kiislamu,

historia yake inaonesha nchi ilipitia wakati mgumu sana miaka ya nyuma,

ilikuwa ni sehemu ya watu wa ulaya na Marekani kuja kugawana mafuta na malighafi za hiyo nchi kabla ya Mapinduzi ya kiislamu...

So bado Europe na Amerika (USA) wanaitaka hiyo nchi.. wananchi waache mihemko
 
Wakuu,

Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani akikutana na Balozi wa Iran nchini Lebanon, Mojtaba Amani.

Soma pia: Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Khameneo alieka picha akiwa na Balozi wa Iran nchini Lebanon, mzima wa afya hana kovu hata moja.

Ikumbukwe kuwa mara baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Khameni yupo hoi kitandani, wananchi wa Iran walianza kuchoma mabango ya kiongozi huyo.

View attachment 3155118

Inaonekana huyu baba bado bado yupo sana sana.
Hii ni libya nyingine inatengenezwa na inaonyesha ni jinsi gani wavaa kobaz wa iran wanataka huyu jamaa afe ila hakuna namna wanaweza kumuua.

Nb. Hao walionaswa kwenye camera wakichoma mabango yake wajiandae kwenda kuzagamua mabikra 72
 
Wewe siyo kafiri sheikh wewe ni mja wa mwenyezi MUNGU mola wako wako mlezi wewe ni mtu wa alah aliyekuteremshia kitabu chenye mongozo kamili na kisichokuwa na shaka ndani yake na wewe ni muumini wa dini ya khaki dini ya kiislamu

Makafiri ni sisi wakristo watu ambao Allah ameagiza mtuue kwa upanga sisi ambao tutaenda motoni moja kwa moja wakati wewe ukiwa unaburudika na zile bikira 72 akhera
Rubbish.
 
Hongera kwa kujitambua kuwa ni kafiri
 
Wakuu,

Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani akikutana na Balozi wa Iran nchini Lebanon, Mojtaba Amani.

Soma pia: Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Khameneo alieka picha akiwa na Balozi wa Iran nchini Lebanon, mzima wa afya hana kovu hata moja.

Ikumbukwe kuwa mara baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Khameni yupo hoi kitandani, wananchi wa Iran walianza kuchoma mabango ya kiongozi huyo.

View attachment 3155118

Inaonekana huyu baba bado bado yupo sana sana.
Wewe nyau hebu tueleze, hiyo picha yenye trh November 27 ninini!!! Maana leo ni November 18
 
Netanyahu hana amani analala kwenye mahandaki kwasababu ya Khamenei, kwahiyo lazima azushe taarifa za kipuuzi
Halafu watu wanaongea kama vile Khamenei ndo alikuwa kiongozi baada ya hayo mapinduzi.....kumbe na yy alichaguliwa kwa kura baada ya aliyemtanguliq kung'oka...kwhyo wakae wakijua succession plan ipo nzuri sana tu....akitoka hyo Babu kinakuja chuma kingine
 
Chuma gani?. Uchaguzi iliyopita wairani walimchagua mgombea asiye wa msimamo mkali na kumpiga Chini mgombea mwenye msimamo mkali wa kiislamu anayeungwa mkono na Khamenei.
 
Wakuu,

Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani akikutana na Balozi wa Iran nchini Lebanon, Mojtaba Amani.

Soma pia: Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Khameneo alieka picha akiwa na Balozi wa Iran nchini Lebanon, mzima wa afya hana kovu hata moja.

Ikumbukwe kuwa mara baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Khameni yupo hoi kitandani, wananchi wa Iran walianza kuchoma mabango ya kiongozi huyo.

View attachment 3155118

Inaonekana huyu baba bado bado yupo sana sana.
He is a dead worlk Israel special unity. Huyu hawatamani afe bila wao kumtoa roho trust me hiyo ndio siri kali
 
Alijificha na Mama nini? maana walipotea kama sawa vile
 
Mara nyingi viongozi huwa wakipatwa na majanga ya kifamilia either kupigana na kuumizana wanapotea hadharani maana ni aibu kuibuka na kovu.. Same lakike Che Nkapa alivunjwa mguu nadhani kama sikosei
 
Wakuu,

Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani akikutana na Balozi wa Iran nchini Lebanon, Mojtaba Amani.

Soma pia: Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Khameneo alieka picha akiwa na Balozi wa Iran nchini Lebanon, mzima wa afya hana kovu hata moja.

Ikumbukwe kuwa mara baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Khameni yupo hoi kitandani, wananchi wa Iran walianza kuchoma mabango ya kiongozi huyo.

View attachment 3155118

Inaonekana huyu baba bado bado yupo sana sana.
Hii picha mbona ya novemba 27, huo ni mwaka gani?
 
Acheni kusambaza Fake news.
Raia wa IRAN KAMWE HAWAWEZI kuchoma picha za Khomeini.
Ayatollah ni kiongozi wa dini wa Iran na kitaratibu za Shia kiongozi wa dini ni mwenye kuheshimika.
Pia huu ni uongo hapo mbona kama uarabuni?
Na hao watu wanaongea kiarabu sio kiajemi.
Mleta mada Wacha kutuletea FAKE NEWS.
HAO WAARABU SIO WAAJEMI NA HAPO SIO IRAN.
 
Back
Top Bottom