Msimbe Joseph
New Member
- May 17, 2019
- 3
- 1
Jaman weweePole ebu mtumie msg za mpesa alafu muulize shida nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman weweePole ebu mtumie msg za mpesa alafu muulize shida nn
Sasa unahudumiaje mwanamke ambae haujaoa..... Hujui madhara ya kuhudumia mwanamke ambae si mkeo?! Siku akikugeuka unaweza piga na panga la kichwa kabisaKwa huo wema wako na mapenzi yako ya dhati, tangu uende Dodoma umeshamtumia sh ngapi? Nawashangaa wanaume wanaosema wana mapenzi ya dhati wakati hawawahudumii wapenzi wao kwa chochote mpaka wanakuja kutusumbua sie huku wa pembeni.
Sasa mwenzako keshapata bwana, ukute hapo keshamuhonga simu, ana mtoa outing za maana nk. Unaweza ukasema una mapenzi ya dhati, kwa SI unit yako ila kwa standards za kimataifa ukawa unaburuta mkia. Jitafakari. Kama umepwaya acha nafasi.
Mapenzi ya dhati sio kupiga piga simu ovyo na kumuuliza mwenzako amekula na wakati hujui hata hiyo ela ya kula ameitoa wapi. Wenye mapenzi ya dhati wako wanacheza na M pesa tu.
Pata mwingine huko Dodoma. Huyo Kesha pata mwingine. Ukifika Dar wala usipoteze muda kumtafuta.Habari za majukumu wana jf..
Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya njemaa..
Back to the point..
Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani kwa takribani miaka miwili na nusu sasa.
Kilicho nifanya nije jukwaani hapa muda huu ni kuhusu tabia za huyu mwenzangu ambazo ameanza kuzionesha takribani kwa miezi miwili sasa.
Mi kwasasa nipo Dodoma kikazi na mwenzangu nimemuacha Dar ila tabia yake ndo inaniacha hoi.
Naweza piga simu hata missed calls 8 na hapo nimepiga asubuhi ila cha ajabu akajibu saa 4 usiku tena kwa ufupi tu.
Natuma text ambazo ni za muhimu lakini hajibu wala nikimtafuta nikimuuliza kwanini hakujibu zile txt hunijibu kwa dharau na kwa ufupi tu.
Nimejaribu kujitafakari labda kuna kitu nimemkwaza lakini naona sina kosa. Nimemuuliza mara kwa mara kama kuna shida yoyote kati yetu aniambie asinifiche tuwekane wazi tu ila anadai kila ktu kipo poa tu wakati naona dharau zinazidi kuongezeka siku hadi siku.
Sijathibitisha kama kapata mwanaume wa kumfanya awe hivo au la. Japo ukweli nakapenda mnoo ila kwa dharau zake aisee nimekoma.
Kitu kingine ambacho nimegundua wanawake wembamba ni wana dharau sana na wanajiona wao ndio viumbe bora kabisa hapa duniani. Huyu ni demu wangu wa tatu tunashindwana wa sampuli hii.
Don't trust a woman aisee. Leo nimeamini kuwa mwanamke anapenda awe ananyanyasika tu hapo ndo atatulia.
Siamini wa sithamini tena mwanamke.. Nlijifanya mi ndo mwema na nina mapenzi ya dhati saivi najuta tu.
Nawasilisha
Anasubiri aambiweHakutaki huyo,,jiongeze
Tulia mzee. That makes you stronger.Habari za majukumu wana jf..

Hii inawezakuthibitisha kwa nini asilimia kibwa ya ndoa za kikurya zinadumu muda mrefu na wakati mwingine maisha yote.Habari za majukumu wana jf..
Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya njemaa..
Back to the point..
Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani kwa takribani miaka miwili na nusu sasa.
Kilicho nifanya nije jukwaani hapa muda huu ni kuhusu tabia za huyu mwenzangu ambazo ameanza kuzionesha takribani kwa miezi miwili sasa.
Mi kwasasa nipo Dodoma kikazi na mwenzangu nimemuacha Dar ila tabia yake ndo inaniacha hoi.
Naweza piga simu hata missed calls 8 na hapo nimepiga asubuhi ila cha ajabu akajibu saa 4 usiku tena kwa ufupi tu.
Natuma text ambazo ni za muhimu lakini hajibu wala nikimtafuta nikimuuliza kwanini hakujibu zile txt hunijibu kwa dharau na kwa ufupi tu.
Nimejaribu kujitafakari labda kuna kitu nimemkwaza lakini naona sina kosa. Nimemuuliza mara kwa mara kama kuna shida yoyote kati yetu aniambie asinifiche tuwekane wazi tu ila anadai kila ktu kipo poa tu wakati naona dharau zinazidi kuongezeka siku hadi siku.
Sijathibitisha kama kapata mwanaume wa kumfanya awe hivo au la. Japo ukweli nakapenda mnoo ila kwa dharau zake aisee nimekoma.
Kitu kingine ambacho nimegundua wanawake wembamba ni wana dharau sana na wanajiona wao ndio viumbe bora kabisa hapa duniani. Huyu ni demu wangu wa tatu tunashindwana wa sampuli hii.
Don't trust a woman aisee. Leo nimeamini kuwa mwanamke anapenda awe ananyanyasika tu hapo ndo atatulia.
Siamini wa sithamini tena mwanamke.. Nlijifanya mi ndo mwema na nina mapenzi ya dhati saivi najuta tu.
Nawasilisha
Mademu wembamba ni wajeurii,viburi maneno mengi yan mm siendan naoHabari za majukumu wana jf..

Dogo ana emotional dependency ndiyo inayomsumbua.Mfano ukiamua usimtafute tena kutatokea nini kwa upande wako!?
Kama hujamuoa,hujapata nae mtoto,na hana kazi,piga chini tafuta mwingine mdogo wangu,usife kwa presha,maisha ni mafupi sanaHabari za majukumu wana jf..
Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya njemaa..
Back to the point..
Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani kwa takribani miaka miwili na nusu sasa.
Kilicho nifanya nije jukwaani hapa muda huu ni kuhusu tabia za huyu mwenzangu ambazo ameanza kuzionesha takribani kwa miezi miwili sasa.
Mi kwasasa nipo Dodoma kikazi na mwenzangu nimemuacha Dar ila tabia yake ndo inaniacha hoi.
Naweza piga simu hata missed calls 8 na hapo nimepiga asubuhi ila cha ajabu akajibu saa 4 usiku tena kwa ufupi tu.
Natuma text ambazo ni za muhimu lakini hajibu wala nikimtafuta nikimuuliza kwanini hakujibu zile txt hunijibu kwa dharau na kwa ufupi tu.
Nimejaribu kujitafakari labda kuna kitu nimemkwaza lakini naona sina kosa. Nimemuuliza mara kwa mara kama kuna shida yoyote kati yetu aniambie asinifiche tuwekane wazi tu ila anadai kila ktu kipo poa tu wakati naona dharau zinazidi kuongezeka siku hadi siku.
Sijathibitisha kama kapata mwanaume wa kumfanya awe hivo au la. Japo ukweli nakapenda mnoo ila kwa dharau zake aisee nimekoma.
Kitu kingine ambacho nimegundua wanawake wembamba ni wana dharau sana na wanajiona wao ndio viumbe bora kabisa hapa duniani. Huyu ni demu wangu wa tatu tunashindwana wa sampuli hii.
Don't trust a woman aisee. Leo nimeamini kuwa mwanamke anapenda awe ananyanyasika tu hapo ndo atatulia.
Siamini wa sithamini tena mwanamke.. Nlijifanya mi ndo mwema na nina mapenzi ya dhati saivi najuta tu.
Nawasilisha
Hiyo title mods wamei edit Mi niliandika vingine kabisa naona walihisi imekosa maadiliMkuu naona amekuacha pia sababu unaelements za kike maana mwanaume kuandika neno "kama zote" ni dalili mbaya sana kaona huwezi kuwa mwanaume kwake
😂 😂 😂 😂we dada phala sanahizo za nini utadhani ana figo yako?