Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
Nimeamini udhaifu unaambukiza😂😂😂 yani amehamia dodoma miezi 2 tu,tayari amekuwa dhaifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamini udhaifu unaambukiza😂😂😂 yani amehamia dodoma miezi 2 tu,tayari amekuwa dhaifu.
Wanaume tunalogwa sana siku hizi; upole mwngi ubabe tumeuacha; impact ya 50/50 hiiPole.Mbona siku hizi wanaume tunalalamika sana, ina maana tumekuwa dhaifu kuliko wanawake duh
Na mambo ya kuwa na mpenzi mmoja ndio chagamoto zake hizi akiamua kuuponda ponda moyo wako yani unakua kama tikiti bovu....sijui nimshauri sijui niache tuBwana wee tunafundisha kweli kweli Hawa wanaume wenzetu hawaelewi...
Embu mfundishe wewe mwanamke labda atakuelewa...
Itakua kitu kimoja tu kama sio uno basi pesaTena kimemzidi jamaa kwa kila kitu
Kwenye hii thread dhaifu nani? Acha basi kumsanifu huyu kidume cha mbegu tehDaaah mm mwanamke ninamuona ni kiumbe dhaifu simpi dhamana.
Kaka huyo mpenzi wako ni kabila gani, maana kuna aina ya makabila wanawake wanakuwa hawaheshimu mahusiano yao , wanakuwa hawajali lolote zaidi wanakuwa kimaslahi, au ni tabia yao tu kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja.Habari za majukumu wana jf..
Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya njemaa..
Back to the point..
Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani kwa takribani miaka miwili na nusu sasa.
Kilicho nifanya nije jukwaani hapa muda huu ni kuhusu tabia za huyu mwenzangu ambazo ameanza kuzionesha takribani kwa miezi miwili sasa.
Mi kwasasa nipo Dodoma kikazi na mwenzangu nimemuacha Dar ila tabia yake ndo inaniacha hoi.
Naweza piga simu hata missed calls 8 na hapo nimepiga asubuhi ila cha ajabu akajibu saa 4 usiku tena kwa ufupi tu.
Natuma text ambazo ni za muhimu lakini hajibu wala nikimtafuta nikimuuliza kwanini hakujibu zile txt hunijibu kwa dharau na kwa ufupi tu.
Nimejaribu kujitafakari labda kuna kitu nimemkwaza lakini naona sina kosa. Nimemuuliza mara kwa mara kama kuna shida yoyote kati yetu aniambie asinifiche tuwekane wazi tu ila anadai kila ktu kipo poa tu wakati naona dharau zinazidi kuongezeka siku hadi siku.
Sijathibitisha kama kapata mwanaume wa kumfanya awe hivo au la. Japo ukweli nakapenda mnoo ila kwa dharau zake aisee nimekoma.
Kitu kingine ambacho nimegundua wanawake wembamba ni wana dharau sana na wanajiona wao ndio viumbe bora kabisa hapa duniani. Huyu ni demu wangu wa tatu tunashindwana wa sampuli hii.
Don't trust a woman aisee. Leo nimeamini kuwa mwanamke anapenda awe ananyanyasika tu hapo ndo atatulia.
Siamini wa sithamini tena mwanamke.. Nlijifanya mi ndo mwema na nina mapenzi ya dhati saivi najuta tu.
Nawasilisha
Yan kwenye kupiga cm kaenda mbali sana.Mm hata message tu nikshaona natuma meseji halaf unzijib ile kidizain flan aisee hata uwe dume nakupotezea hata kuwe na mchongo wa maana ndio ushaukosa hivyo.Mshkaji anashindwa kujiongeza. Kama mtu hapokei simu usimpigie tena. Kwan sh.ngapi bwana
Haya ndo yale "Kupigwa matukio paka unaondoka mwenyewe" aliyokuwa anafanya Diamond kwa zari.. Jiongeze baba kwani dodoma hamna wanawakeHabari za majukumu wana jf..
Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya njemaa..
Back to the point..
Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani kwa takribani miaka miwili na nusu sasa.
Kilicho nifanya nije jukwaani hapa muda huu ni kuhusu tabia za huyu mwenzangu ambazo ameanza kuzionesha takribani kwa miezi miwili sasa.
Mi kwasasa nipo Dodoma kikazi na mwenzangu nimemuacha Dar ila tabia yake ndo inaniacha hoi.
Naweza piga simu hata missed calls 8 na hapo nimepiga asubuhi ila cha ajabu akajibu saa 4 usiku tena kwa ufupi tu.
Natuma text ambazo ni za muhimu lakini hajibu wala nikimtafuta nikimuuliza kwanini hakujibu zile txt hunijibu kwa dharau na kwa ufupi tu.
Nimejaribu kujitafakari labda kuna kitu nimemkwaza lakini naona sina kosa. Nimemuuliza mara kwa mara kama kuna shida yoyote kati yetu aniambie asinifiche tuwekane wazi tu ila anadai kila ktu kipo poa tu wakati naona dharau zinazidi kuongezeka siku hadi siku.
Sijathibitisha kama kapata mwanaume wa kumfanya awe hivo au la. Japo ukweli nakapenda mnoo ila kwa dharau zake aisee nimekoma.
Kitu kingine ambacho nimegundua wanawake wembamba ni wana dharau sana na wanajiona wao ndio viumbe bora kabisa hapa duniani. Huyu ni demu wangu wa tatu tunashindwana wa sampuli hii.
Don't trust a woman aisee. Leo nimeamini kuwa mwanamke anapenda awe ananyanyasika tu hapo ndo atatulia.
Siamini wa sithamini tena mwanamke.. Nlijifanya mi ndo mwema na nina mapenzi ya dhati saivi najuta tu.
Nawasilisha
Miaka miwili hujapiga mimba? Umeyataka! Ukimpa mwanamke mimba yeye ndio anakutafuta!Habari za majukumu wana jf..

Tafuta hela mzee.. Malalamiko hayasaidii! Ukiwa na hela hizo simu wala hutopiga weweHabari za majukumu wana jf..

kuachwa kuachwa kuachwa ni shughuli pevu .yeye ananenepa wewe unakonda,we wapiga simu yeye hopekei,unabaki n.a. mawazoo.....pole mkuu jipe moyo huyo sio wako.kuna jamaa anamchakaza sasa hivi basi hapo n.a. wewe kuna dada anakupenda ila sababu ni mjinga unampotezea ..tulia dawa ikuingie....chi chi chi chibonge
Habari za majukumu wana jf..
Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya njemaa..
Back to the point..
Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani kwa takribani miaka miwili na nusu sasa.
Kilicho nifanya nije jukwaani hapa muda huu ni kuhusu tabia za huyu mwenzangu ambazo ameanza kuzionesha takribani kwa miezi miwili sasa.
Mi kwasasa nipo Dodoma kikazi na mwenzangu nimemuacha Dar ila tabia yake ndo inaniacha hoi.
Naweza piga simu hata missed calls 8 na hapo nimepiga asubuhi ila cha ajabu akajibu saa 4 usiku tena kwa ufupi tu.
Natuma text ambazo ni za muhimu lakini hajibu wala nikimtafuta nikimuuliza kwanini hakujibu zile txt hunijibu kwa dharau na kwa ufupi tu.
Nimejaribu kujitafakari labda kuna kitu nimemkwaza lakini naona sina kosa. Nimemuuliza mara kwa mara kama kuna shida yoyote kati yetu aniambie asinifiche tuwekane wazi tu ila anadai kila ktu kipo poa tu wakati naona dharau zinazidi kuongezeka siku hadi siku.
Sijathibitisha kama kapata mwanaume wa kumfanya awe hivo au la. Japo ukweli nakapenda mnoo ila kwa dharau zake aisee nimekoma.
Kitu kingine ambacho nimegundua wanawake wembamba ni wana dharau sana na wanajiona wao ndio viumbe bora kabisa hapa duniani. Huyu ni demu wangu wa tatu tunashindwana wa sampuli hii.
Don't trust a woman aisee. Leo nimeamini kuwa mwanamke anapenda awe ananyanyasika tu hapo ndo atatulia.
Siamini wa sithamini tena mwanamke.. Nlijifanya mi ndo mwema na nina mapenzi ya dhati saivi najuta tu.
Nawasilisha
Na we mkuu miaka miwili na nusu hujamuoa binti wa watu...!Habari za majukumu wana jf..

Mimi pia nimegundua hili.Pole.Mbona siku hizi wanaume tunalalamika sana, ina maana tumekuwa dhaifu kuliko wanawake duh