Baada ya kwenda Dodoma kikazi ameanza dharau “kama zote”

Baada ya kwenda Dodoma kikazi ameanza dharau “kama zote”

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa fala kweli huu ukweli utamchoma mwamba kama pasi. Hawa simbilisi bila kuwapa hela hasa hawa specie ya Dar kila weekend wanataka kwenda K.Koo kununua viatu na skin jeans hahaha mapenzi lazma yawe magumu
[emoji23][emoji23]kampa ukweli mchungu
 
Hahahahhahh

Unaweza kulia kama umepigwa
Nakwambia!!Sijui ipoje papuchi?nakumbuka me niliwahi Lia kuanzia singida stand mpaka Katesh ndani ya basi,ni machozi tuu.Aisee sitasahau Yale maumivu
 
Brother huna chako hapo chapa laps mbona wapo wengi tu Wa sampuli hiyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikunyima au??
Bora ata angeninyima!Yani mdada kabadilika kabisaaaa tofauti na awali wakati tunaanza.Namuuliza hata hajibu kitu.Mwanamke akiwa na mambo ya nje hajifichi anaonesha wazi ni tofauti na sisi ni ngumu kutugundua.
Sasa bidada nampenda Yani mpaka koo linajaaa, nachanganyikiwa!
 
Bora ata angeninyima!Yani mdada kabadilika kabisaaaa tofauti na awali wakati tunaanza.Namuuliza hata hajibu kitu.Mwanamke akiwa na mambo ya nje hajifichi anaonesha wazi ni tofauti na sisi ni ngumu kutugundua.
Sasa bidada nampenda Yani mpaka koo linajaaa, nachanganyikiwa!

Ni kweli hatuwezi kuficha...zinaanzaga dharau hadi mwanaume anajitoa,mwingine anakwambia kabisa muachane

Ila si uliachana nae au ulibembeleza akatulia kwako?
 
Habari za majukumu wana jf..

Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya njemaa..

Back to the point..

Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani kwa takribani miaka miwili na nusu sasa.

Kilicho nifanya nije jukwaani hapa muda huu ni kuhusu tabia za huyu mwenzangu ambazo ameanza kuzionesha takribani kwa miezi miwili sasa.

Mi kwasasa nipo Dodoma kikazi na mwenzangu nimemuacha Dar ila tabia yake ndo inaniacha hoi.

Naweza piga simu hata missed calls 8 na hapo nimepiga asubuhi ila cha ajabu akajibu saa 4 usiku tena kwa ufupi tu.

Natuma text ambazo ni za muhimu lakini hajibu wala nikimtafuta nikimuuliza kwanini hakujibu zile txt hunijibu kwa dharau na kwa ufupi tu.

Nimejaribu kujitafakari labda kuna kitu nimemkwaza lakini naona sina kosa. Nimemuuliza mara kwa mara kama kuna shida yoyote kati yetu aniambie asinifiche tuwekane wazi tu ila anadai kila ktu kipo poa tu wakati naona dharau zinazidi kuongezeka siku hadi siku.

Sijathibitisha kama kapata mwanaume wa kumfanya awe hivo au la. Japo ukweli nakapenda mnoo ila kwa dharau zake aisee nimekoma.

Kitu kingine ambacho nimegundua wanawake wembamba ni wana dharau sana na wanajiona wao ndio viumbe bora kabisa hapa duniani. Huyu ni demu wangu wa tatu tunashindwana wa sampuli hii.

Don't trust a woman aisee. Leo nimeamini kuwa mwanamke anapenda awe ananyanyasika tu hapo ndo atatulia.

Siamini wa sithamini tena mwanamke.. Nlijifanya mi ndo mwema na nina mapenzi ya dhati saivi najuta tu.

Nawasilisha
Hapo kuna mwanaume mwenzio ameshamiliki, penzi la mbali huwa halina amana, na wewe tafuta huko Dodoma mabinti ni wengi sana kuanzia wa majumbani, wanafunzi wa vyuo, wafanyakazi nk ili uondoe stress za kuachwa.
 
Siku ukimpata yule uliyeumbiwa, hakutakuwa na zengwe. Utaona mambo yote ni kama mteremko wa Kitonga. Endelea kubonyeza bonyeza nyanya kisha nunua bilinganya. Hawa madem warembo ni shida. Ndio maana wanaume wengi huwa wanaoa wanawake wa kawaida na wakati walishadate na madem wakali kinoma.
Hahaha aliokwambia warembo ni wa kuoa nani mkuu, hao tunabonyeza tu kisha tunanunua wa kawaida
 
Back
Top Bottom