Baada ya kwenda Dodoma kikazi ameanza dharau “kama zote”

Sasa unahudumiaje mwanamke ambae haujaoa..... Hujui madhara ya kuhudumia mwanamke ambae si mkeo?! Siku akikugeuka unaweza piga na panga la kichwa kabisa
 
Pata mwingine huko Dodoma. Huyo Kesha pata mwingine. Ukifika Dar wala usipoteze muda kumtafuta.
Kubali hali halisi. Songa mbele maisha yaendele.
 
Mkuu naona amekuacha pia sababu unaelements za kike maana mwanaume kuandika neno "kama zote" ni dalili mbaya sana kaona huwezi kuwa mwanaume kwake
 
Tulia mzee. That makes you stronger.
 
Hii inawezakuthibitisha kwa nini asilimia kibwa ya ndoa za kikurya zinadumu muda mrefu na wakati mwingine maisha yote.
Kuna wengine kama;

Morogoro tumeona juzi wanandoa na walioingilia ndoa wameuana.

Pole sana huyo huwezi mbadilisha tena, zaidi usirudie makosa uliyoyabaini kwenye mahusiano mapya kama utafika huko.

Kitu kingine si dhani kama long distance relationship zinafaa kwa maisha ya leo
 
Mademu wembamba ni wajeurii,viburi maneno mengi yan mm siendan nao
 
Kama hujamuoa,hujapata nae mtoto,na hana kazi,piga chini tafuta mwingine mdogo wangu,usife kwa presha,maisha ni mafupi sana
 
Ahsante kwa ushauri="JUAN MANUEL, post: 31667303, member: 32575"]
Kama hujamuoa,hujapata nae mtoto,na hana kazi,piga chini tafuta mwingine mdogo wangu,usife kwa presha,maisha ni mafupi sana
[/QUOTE]
 
Mkuu naona amekuacha pia sababu unaelements za kike maana mwanaume kuandika neno "kama zote" ni dalili mbaya sana kaona huwezi kuwa mwanaume kwake
Hiyo title mods wamei edit Mi niliandika vingine kabisa naona walihisi imekosa maadili
 
Unapigiwa mkuu,huna chako,wakubwa tushang'amua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…