Baada ya Lissu kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025,ungependa aelekee katika chama gani

Baada ya Lissu kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025,ungependa aelekee katika chama gani

Hebu kafuatilie ligi kuu uko habari za chadema na lisu kwenda wp zinakuhusu nn au tutakavyo sema ccm,cuf nk. Uamzi wa sisi kupanga aende wap sio maamuzi kwa lisu
 
Chama kipi kinamfaa baada ya kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025? Mimi namshauri aende UDP Upendo.
apumzike, au arudi ubelgiji, maana option zake zote mbili ambazo nitatoa hapa, akizifuata, watamuua. option ya kwanza ni kusajili chama kipya cha upinzani. ana haki zote na atachukua wanachama wote. hata hivyo akifanya hivyo, anatakiwa alindwe sana, la sivyo...

pili, anaweza kuhamia chama kingine cha upinzani, na akienda huko, itakuwa bora sijui angefanya nini maana uslaama wake utakuwa mdogo.

mwisho, ahamie ccm (ambao ata yeye amesema kama akishindwa uenyekiti uamuzi ambao atauchukua hataki hata kuufikiria), na akienda ccm atakuwa sio yule mliyemzoea, atakuwa msigwa, na watamtumia na mwisho.....

kama anataka aendelee kuishi, arudi ubelgiji, aishi na mke na watoto. basi ili asogeze siku. tunashukuru kwa utumishi wake hadi hapa alipofikia, na ameumizwa hadi kulemazwa kwa ajili hiyo.

mbowe ambaye hataumizwa hata ukucha tu anakuja leo kusema "yeye habangaizi, ana hela". wenzake wana makovu ila yeye ana hela.
 
Nimekutana na Boni Yai, yaani apoteza nuru usoni na uwezo wa kujiamini. Hii ni baada ya kumuunga mkono bwana saccos na kumnanga Lisu.
 
Akuna wa kumfukuza bali ataondoka mwenye kumfuata msingwa alipo
 
2025 Lisu asipokua mwenyekiti au uongozi wowote ,watapata wakati mgumu sana kumuomba msamaha Lisu ili apambane na Samia maana kwasasa nchi yetu hakuna mwanasiasa aneyeweza aimama na Samia zaidi ya Lisu.
 
Back
Top Bottom