Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado dozi anayotoa Lissu haijafika hata robo, viembe tayari vinarukaruka! Hakuna wa kumfukuza Lissu. Endeleeni tu kujipanga kwenye msitari dawa iingie na ikifika tarehe 23/1/23, tutaongea lugha moja!Chiembe said:Chama kipi kinamfaa baada ya kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025? Mimi namshauri aende UDP Upendo
EisiitiiChama kipi kinamfaa baada ya kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025? Mimi namshauri aende UDP Upendo.
Hata mimi naona kuna uwezekano mkubwa wa yeye kufukuzwa na itakua hivi:Chama kipi kinamfaa baada ya kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025? Mimi namshauri aende UDP Upendo.
Sahihi kabisaHata mimi naona kuna uwezekano mkubwa wa yeye kufukuzwa na itakua hivi:
Sasa hivi Mbowe atakua yupo bz na wale haswa wanaohusika kupiga kura, lakini TAL yeye anautumia muda huo kuongea sana kwenye social media,,,hii inaweza kumsababishia kushindwa kwenye box la kura.
Akishashindwa kwenye box la kura hata kubali matokeo na ataongea sana kwenye social media kwa jazba na hiyo itasababisha kuitwa kwenye kamati za chama na atakaidi. hali hii itasababisha kufukuzwa kwenye chama.
Hata isiposemwa inaonekana tu itafokeaNani kasema atafukuzwa?
Ameongea nini tena??CHAUMA kule ataachana na maswala ya kuongea ongea bila breki kule ni kula ubwabwa tu!.
Kwan kauli ya kuhama chama lissu,ni nani kaitoa?.apumzike, au arudi ubelgiji, maana option zake zote mbili ambazo nitatoa hapa, akizifuata, watamuua. option ya kwanza ni kusajili chama kipya cha upinzani. ana haki zote na atachukua wanachama wote. hata hivyo akifanya hivyo, anatakiwa alindwe sana, la sivyo...
pili, anaweza kuhamia chama kingine cha upinzani, na akienda huko, itakuwa bora sijui angefanya nini maana uslaama wake utakuwa mdogo.
mwisho, ahamie ccm (ambao ata yeye amesema kama akishindwa uenyekiti uamuzi ambao atauchukua hataki hata kuufikiria), na akienda ccm atakuwa sio yule mliyemzoea, atakuwa msigwa, na watamtumia na mwisho.....
kama anataka aendelee kuishi, arudi ubelgiji, aishi na mke na watoto. basi ili asogeze siku. tunashukuru kwa utumishi wake hadi hapa alipofikia, na ameumizwa hadi kulemazwa kwa ajili hiyo.
mbowe ambaye hataumizwa hata ukucha tu anakuja leo kusema "yeye habangaizi, ana hela". wenzake wana makovu ila yeye ana hela.
None sanse..Hata isiposemwa inaonekana tu itafokea
CCM itamfaa zaidi. Alete hizi changamoto anazozitoa huko chadema.Chama kipi kinamfaa baada ya kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025? Mimi namshauri aende UDP Upendo.
Jamaa atafurushwaNone sanse..
Baada ya huu uchaguzi. Kosa kubwa linaenda kukimalizia hiki chama ni kumfukuza au kumfutia uanachama.Chama kipi kinamfaa baada ya kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025? Mimi namshauri aende UDP Upendo.
Atafukuzwa au atajiondoa mwenyewe?Chama kipi kinamfaa baada ya kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025? Mimi namshauri aende UDP Upendo.
Hatutaki hata kumuona CCM .Nyau kabisa.Huko Ubeligiji hakuna vyama akajiunge ? Kwanza hana adabu kabisa.Anamuita rais wetu eti 'Samia na mwanae Abdul' bila hata kusema neno 'Rais". Rais ambaye alimuonyesha upendo hata wakati akiwa kitandani anaugulia risasi .Ama kweli,shukrani ya Punda ni mateke. Hata kama hana adabu kabisa basi aheshimu basi hata umri wake kwani hata huko kwao Singida kuna wakubwa.
Huyu atakuja na kupokelewa CCM, lakini ni baada ya kakaake Wakili Msomi Mughway Lissu kumuombea msamaha sana!Chama kipi kinamfaa baada ya kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025? Mimi namshauri aende UDP Upendo.
Hebu basi wajaribu kumleleta .Huyu atakuja na kupokelewa CCM, lakini ni baada ya kakaake Wakili Msomi Mughway Lissu kumuombea msamaha sana!