Baada ya Lissu kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025,ungependa aelekee katika chama gani

Baada ya Lissu kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025,ungependa aelekee katika chama gani

Lakini kumkaribisha Lissu na kumpa hata kipande cha slice ya mkate ni sawasawa na kufuga JINI nyumbani kwako.Ipo siku litakunyonya damu mwenyewe.Au mnasemaje jameni !
 
apumzike, au arudi ubelgiji, maana option zake zote mbili ambazo nitatoa hapa, akizifuata, watamuua. option ya kwanza ni kusajili chama kipya cha upinzani. ana haki zote na atachukua wanachama wote. hata hivyo akifanya hivyo, anatakiwa alindwe sana, la sivyo...

pili, anaweza kuhamia chama kingine cha upinzani, na akienda huko, itakuwa bora sijui angefanya nini maana uslaama wake utakuwa mdogo.

mwisho, ahamie ccm (ambao ata yeye amesema kama akishindwa uenyekiti uamuzi ambao atauchukua hataki hata kuufikiria), na akienda ccm atakuwa sio yule mliyemzoea, atakuwa msigwa, na watamtumia na mwisho.....

kama anataka aendelee kuishi, arudi ubelgiji, aishi na mke na watoto. basi ili asogeze siku. tunashukuru kwa utumishi wake hadi hapa alipofikia, na ameumizwa hadi kulemazwa kwa ajili hiyo.

mbowe ambaye hataumizwa hata ukucha tu anakuja leo kusema "yeye habangaizi, ana hela". wenzake wana makovu ila yeye ana hela.
Usalama wa kweli anao Mungu tu.
Acheni uoga nyie wanafiki.
 
Back
Top Bottom