Baada ya Lissu kusema mikoa ya mipakani itakuwa milango ya biashara

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438

Lissu alisema wananchi wanaoishi katika mikoa ya mipakani wanaweza kufanya biashara ndani ya nchi na pia wanaweza kufanya biashara katika nchi jirani. Mfano Mkulima wa Korosho anaweza kuuza korosho Msumbiji kama bei ni nzuri zaidi ya Tanzania au kahawa ya Kagera kuuzwa Uganda kama bei ni nzuri zaidi.

Magufuli nae alipofika Mbeya akaneana haya:

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Dk.John Magufuli amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza kwa mara nyingine serikali yake itaufanya mkoa wa Mbeya kuwa lango kuu la uchumi katika ukanda wa nyanda za juu kusini.
 
Kwanini waandishi wa habari wanapokua kwenye press conference za Polepole hawaulizi maswali kama haya ya kuiga sera kuna maanisha nini,chama hakijajipanga au hawana mfumo wa kufikiri wenye upeo wa kuwavusha watz
 
Kwanini waandishi wa habari wanapokua kwenye press conference za polepole hawaukizi maswali kama haya ya kuiga sera kunamaanisha nini,chama hakijajipanga au hawana mfumo wa kufikiri wenye upeo wa kuwavusha watz

Hawaulizwagi maswali hao,maana ni janja janja tu hata Kwenye mikutano yao watu hawapigi makofi kuonesha kwamba umeongea point kama kwa Lisu , wao wanapiga kelele tu .

Kuna muda mtu anaongea point lazima wote mpige makofi,lakini kwa hao watu sijawahi kuona hicho kitu inaonesha hawatemi point.
 
Copy and paste. Hata elimu yake tu inatiliwa mashaka hivyo hivyo.
Soma ilani ya CCM

Lissu alisema wananchi wanaoishi katika mikoa ya mipakani wanaweza kufanya biashara ndani ya nchi na pia wanaweza kufanya biashara katika nchi jirani. Mfano Mkulima wa korosho anaweza kuuza korosho Msumbji kama bei ni nzuri zaidi ya Tanzania au kahawa ya Kagera kuuzwa Uganda kama bei ni nzuri zaidi.

Magufuli nae alipofika Mbeya akaneana haya:

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Dk.John Magufuli amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza kwa mara nyingine serikali yake itaufanya mkoa wa Mbeya kuwa lango kuu la uchumi katika ukanda wa nyanda za juu kusini.

Ni kwa sababu hujasoma ilani ya CCM; kwa hiyo hujui nani kakopi.

1601851158223.png
 
Bado siku ngapi????
23 oyeeeeeeeee

Kijani njano kijani njano kijani💯💃🏽💃🏽💃🏽
 
Lissu alisema wananchi wanaoishi katika mikoa ya mipakani wanaweza kufanya biashara ndani ya nchi na pia wanaweza kufanya biashara katika nchi jirani. Mfano Mkulima wa korosho anaweza kuuza korosho Msumbji kama bei ni nzuri zaidi ya Tanzania au kahawa ya Kagera kuuzwa Uganda kama bei ni nzuri zaidi.

Magufuli nae alipofika Mbeya akaneana haya:

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Dk.John Magufuli amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza kwa mara nyingine serikali yake itaufanya mkoa wa Mbeya kuwa lango kuu la uchumi katika ukanda wa nyanda za juu kusini.

Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono, huwezi mfananisha na utopolo wa Ufipa wanaowaza kuvuna wasipopanda.
 
Magufuli huyu huyu? Sasa imekuwaje anatekeleza budget zake kwa less than 50%,imekuwa miradi yake naiishi kwa wakati na imekuwaje nchi yetu ikapitea kabisa kwenye ramani ya dunia kidiplomasia huku umasikini wa watanzania ukiongezeka kwa kasi ya escape velocity?
 
Lissu alisema wananchi wanaoishi katika mikoa ya mipakani wanaweza kufanya biashara ndani ya nchi na pia wanaweza kufanya biashara katika nchi jirani. Mfano Mkulima wa korosho anaweza kuuza korosho Msumbiji kama bei ni nzuri zaidi ya Tanzania au kahawa ya Kagera kuuzwa Uganda kama bei ni nzuri zaidi.

Magufuli nae alipofika Mbeya akaneana haya:

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Dk.John Magufuli amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza kwa mara nyingine serikali yake itaufanya mkoa wa Mbeya kuwa lango kuu la uchumi katika ukanda wa nyanda za juu kusini.

Yaani ligombea la CCM lipolipo tu
 
Spana za mbeba maono zinamuingia Jiwe.

Jiwe rudisha Fao la kujitoa

Bunge la Ndugai lilitunga Sheria kandamizi za Mafao, ili kunyima wafanyakazi Pesa zao.

FAO LA KUJITOA lilikuwepo kipindi cha Kikwete
Yaani nasubiri walirudishe fao la kujitoa
 
Kwanini waandishi wa habari wanapokua kwenye press conference za Polepole hawaulizi maswali kama haya ya kuiga sera kuna maanisha nini,chama hakijajipanga au hawana mfumo wa kufikiri wenye upeo wa kuwavusha watz
Kwa mtu mwenye maono huwezi kuanza kupeleka reli Mwanza ukaacha kupeleka kwanza Kigoma
 
Back
Top Bottom