Baada ya Lissu kusema mikoa ya mipakani itakuwa milango ya biashara

Baada ya Lissu kusema mikoa ya mipakani itakuwa milango ya biashara

CCM ndio magwiji wa siasa za nchi hii, October 28 mtajionea mpaka kufikia saa nne asubuhi kazi itakuwa imekwisha.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Naye askofu akasema Kuna tano kwanza na tano tena
Wewe wa tano tena tunakutathmini Kule ulipotoka umetufanyia Nini Kama hauna mantiki huwenda pia hizi Ni porojo tu
Wacha tumpe tano kwanza
 
Kwanini waandishi wa habari wanapokua kwenye press conference za Polepole hawaulizi maswali kama haya ya kuiga sera kuna maanisha nini,chama hakijajipanga au hawana mfumo wa kufikiri wenye upeo wa kuwavusha watz
Wataanzaje kwa mfano!
 
Back
Top Bottom