Kwanini waandishi wa habari wanapokua kwenye press conference za polepole hawaukizi maswali kama haya ya kuiga sera kunamaanisha nini,chama hakijajipanga au hawana mfumo wa kufikiri wenye upeo wa kuwavusha watz
Soma ilani ya CCMCopy and paste. Hata elimu yake tu inatiliwa mashaka hivyo hivyo.
Ni kwa sababu hujasoma ilani ya CCM; kwa hiyo hujui nani kakopi.https://www.facebook.com/Lissu alisema wananchi wanaoishi katika mikoa ya mipakani wanaweza kufanya biashara ndani ya nchi na pia wanaweza kufanya biashara katika nchi jirani. Mfano Mkulima wa korosho anaweza kuuza korosho Msumbji kama bei ni nzuri zaidi ya Tanzania au kahawa ya Kagera kuuzwa Uganda kama bei ni nzuri zaidi.
Magufuli nae alipofika Mbeya akaneana haya:
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Dk.John Magufuli amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza kwa mara nyingine serikali yake itaufanya mkoa wa Mbeya kuwa lango kuu la uchumi katika ukanda wa nyanda za juu kusini.
Sawa elimu yake inatiliwa mashaka lkn ndie kiongozi wako tena 2020-2025Copy and paste. Hata elimu yake tu inatiliwa mashaka hivyo hivyo.
Ukitaka kujua hii serikali ni wanyonge au la nenda kafuatilie pesa yako nssf.Spana za mbeba maono zinamuingia Magufuli.
Magufuli rudisha Fao la kujitoa
Bunge la Ndugai lilitunga Sheria kandamizi za Mafao, ili kunyima wafanyakazi Pesa zao.
FAO LA KUJITOA lilikuwepo kipindi cha Kikwete
Ameshainajisi ikulu imemkataa. Hanusi tena mwaka huu.Sawa elimu yake inatiliwa mashaka lkn ndie kiongozi wako tena 2020-2025
Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono, huwezi mfananisha na utopolo wa Ufipa wanaowaza kuvuna wasipopanda.https://www.facebook.com/Lissu alisema wananchi wanaoishi katika mikoa ya mipakani wanaweza kufanya biashara ndani ya nchi na pia wanaweza kufanya biashara katika nchi jirani. Mfano Mkulima wa korosho anaweza kuuza korosho Msumbji kama bei ni nzuri zaidi ya Tanzania au kahawa ya Kagera kuuzwa Uganda kama bei ni nzuri zaidi.
Magufuli nae alipofika Mbeya akaneana haya:
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Dk.John Magufuli amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza kwa mara nyingine serikali yake itaufanya mkoa wa Mbeya kuwa lango kuu la uchumi katika ukanda wa nyanda za juu kusini.
Alicopy PhD ya mwenzake mpaka jina, supervisor ilibidi amuite afute jinaCopy and paste. Hata elimu yake tu inatiliwa mashaka hivyo hivyo.
Magufuli huyu huyu? Sasa imekuwaje anatekeleza budget zake kwa less than 50%,imekuwa miradi yake naiishi kwa wakati na imekuwaje nchi yetu ikapitea kabisa kwenye ramani ya dunia kidiplomasia huku umasikini wa watanzania ukiongezeka kwa kasi ya escape velocity?Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono, huwezi mfananisha na utopolo wa Ufipa wanaowaza kuvuna wasipopanda.
Yaani ligombea la CCM lipolipo tuhttps://www.facebook.com/Lissu alisema wananchi wanaoishi katika mikoa ya mipakani wanaweza kufanya biashara ndani ya nchi na pia wanaweza kufanya biashara katika nchi jirani. Mfano Mkulima wa korosho anaweza kuuza korosho Msumbiji kama bei ni nzuri zaidi ya Tanzania au kahawa ya Kagera kuuzwa Uganda kama bei ni nzuri zaidi.
Magufuli nae alipofika Mbeya akaneana haya:
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Dk.John Magufuli amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza kwa mara nyingine serikali yake itaufanya mkoa wa Mbeya kuwa lango kuu la uchumi katika ukanda wa nyanda za juu kusini.
Yaani nasubiri walirudishe fao la kujitoaSpana za mbeba maono zinamuingia Jiwe.
Jiwe rudisha Fao la kujitoa
Bunge la Ndugai lilitunga Sheria kandamizi za Mafao, ili kunyima wafanyakazi Pesa zao.
FAO LA KUJITOA lilikuwepo kipindi cha Kikwete
Kwa mtu mwenye maono huwezi kuanza kupeleka reli Mwanza ukaacha kupeleka kwanza KigomaKwanini waandishi wa habari wanapokua kwenye press conference za Polepole hawaulizi maswali kama haya ya kuiga sera kuna maanisha nini,chama hakijajipanga au hawana mfumo wa kufikiri wenye upeo wa kuwavusha watz