Uchaguzi 2020 Baada ya Lissu kusema, Rais aagiza ekari 24,000 Moro zirudishwe kwa wananchi

Uchaguzi 2020 Baada ya Lissu kusema, Rais aagiza ekari 24,000 Moro zirudishwe kwa wananchi

Kwa Moto huu soon Azory , na Ben watawarudisha walipowaficha
 
Kumbe watu ni walaini kiasi hiki. Wakibanwa tu, lazima watoe maagizo ili kupunguza pressure.
Lissu kamatia hapo hapo.
Hakuna watu dhaifu duniani Kama madikteta sema kinachowaponza wananchi Ni uoga wao.
 
Magufuli inaonekana ndani ya miaka mitano kafanya ufisadi wa kutisha sana
Kumuweka mtoto wa dada yake kwenye kibubu unategemea nn,Kama 5 yrs tu kajenga mahoteli na uwanja kijijini kwake vipi another 5 yrs again.
 
Back
Top Bottom