Baada ya Liverpool kutolewa jana, leo ni zamu ya Real Madrid kuaga mashindano

Baada ya Liverpool kutolewa jana, leo ni zamu ya Real Madrid kuaga mashindano

Miaka mingine waliochukua kina bayern, Chelsea, man city anakuwa amezubaa nn😂? Kama ndo hvyo mnavyotuambia basi angekuwa anachukua UEFA kila msimu
Facts zinaongea na ndio maana Madrid ndio most champion kwenye hili kombe kuliko Club yeyote unayoijua.

Kwa hiyo numbers ndio zinazo ifanya Madrid iwe favorite kwenye kuvuka hii stage dhidi ya mpinzani wake.

Hizo numbers sisi ndio tumeamua kuzitambua kwa u serious.
 
Kama vile Yanga na kombe la ligi kuu Tanzania bara kama Madrid na UCL
 
Weka Bellingham ndani anarudi baada ya suspension
Madrid wamepigwa kabali kali leo na hawa wahuni wa Wonder metropolitano ,vijana wa Simeon ,
Kuna wazee wa kupaki kontena ,akina Ghallagher na DePaul ,ni balaa wanakaba kinoma .
Madrid second half labda abadili mfumo
 
Atletico wanakaba yaani Mbape na Vin hawaonekani.
Wamefunikwa kisenge Conor Ghallagher mfumo wa Simeon umemkubali ,anakichafua ni balaa na linakaba uwanja mzima ,mithili ya Ngolo Kante kipindi kile yupo epl .
Madrid wakirudi second half hivi ,hawatoboi na wanaweza ongezwa goli nyingine ,kwanza wamekoswa koswa goli kama mbili kipindi cha kwanza pia ,na sidhani kama wana short on target hata moja , kiufupi wameminywa vilivyo
 
Back
Top Bottom