Baada ya Liverpool kutolewa jana, leo ni zamu ya Real Madrid kuaga mashindano

Baada ya Liverpool kutolewa jana, leo ni zamu ya Real Madrid kuaga mashindano

Ha ha ha mkuu kwa sasa Vini sio tishio pale ambapo Madrid inapambana na timu kubwa. Ni kama vile ile duo ya Mbappe na Vini bado haijaclick kwa miamba hii miwili kukaa sehemu moja.
Ni swala la muda wote tutakubali hili swala. Kama wewe ynaona bado endelea kusubiri
 
Back
Top Bottom