Baada ya Lundenga kukemea Matusi ya Mange, Wizara ya mambo ya ndani na Jeshi la Polisi latoa onyo

Baada ya Lundenga kukemea Matusi ya Mange, Wizara ya mambo ya ndani na Jeshi la Polisi latoa onyo

Wewe pia kumbe ni mjinga hivyo...wewe ukitukanwa na mdogo wa mtu na wewe unaanza kumtukana dada yake...hio ni akili au matope?

Alafu wewe kichaa akikukuta unaoga akakuchukulia nguo wewe ukaanza kumkimbiza ukiwa uchi na ukaanza kupiga kelele kwa watu wote wakuone ukiwa uchi...nani ni kichaa kati yako na yule aliyechukua nguo?

Alafu bado mpo humu mnamuona huyo mpuuzi yuko sahihi......Jiulize huyo dada ameshatukana watu wangapi...is that how blogging is supposed to be?
Hamna mtu anayemwona yupo sahihi naona ujinga wako unakufanya uwe na utando machoni. Huyo ni kichaa anajulikana, ushaur wa bure tu, ukimvaa anakuvaa, umweke ndani usimweke tayar ashakuchafua tena kwa evidence za haja! Huo ustaarabu wa kupima mambo unaujua wewe, si yeye! Ushaur wa bure tu, kaa mbali naye hutaki utaishia kulalamika humu JF.
 
sasa na wewe nawe....nikae naye mbali kivipi? kwani mimi niko naye karibu.....anyway nimegundua tunaongea jambo moja katika namna tofauti
 
sasa na wewe nawe....nikae naye mbali kivipi? kwani mimi niko naye karibu.....anyway nimegundua tunaongea jambo moja katika namna tofauti
Wewe si unawakilisha wengi! Acha woga mzee!
 
Ngoma ikivuma sana mwisho hupasuka,Binadamu sio vizuri kumaibisha mwenzio hata kama amekuaibisha muachie Mwenyezi mungu atakulipia.. au niseme kimnya pia Neno....
 
Halafu eti alidiriki kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia CCM!
ujue kwa kiasi fulani akili zao na hulka zao zina fanana,we siunakumbuka kwenye kampeni walikuwa na wacheza vigodoro
 
Miss Tz mwambie mdogo wako aache kutukana watu mitandaoni, ilivyokuuma wewe ndivyo inavyowauma wenzio. Na kwa mange ukimchokoza jiandae kung'atwa, hata ukishtaki tayari ameshakuanika vibaya na sasa tunajua kuwa kumbe uliliwa tigo kha!!!
Hivi ulimwomba sorry richa adhia kwa kumbagua waziwazi kisa rangi yake???

namtetea rachel kwa hili. rachel alikua akicomment kwenye page zinazomtukana mange the same way ambavyo mange alikua akimmention na kuachia comments uturn. kumbuka hawa wawili rachel na mange wanagombana na kuchafuana since hi5 hawajaanza leo ugomvi wao hauishagi unapoa tu. rachel ametulia sana miaka ya hivi karibuni ila mange ni mchafuaji muingiliaji wa familia za watu list ya aliogombana na kuwaanika uturn inajulikana ameumiza familia nyingi kwa kuexpose siri zao like its nothing kwa vile tu yeye ameamua kuanika maisha yake (fake) amejivika umungu mtu sjui hata nimuiteje anajiita activist mtetea wanyonge she is obliged kushauri familia anazojiskia kuzianika ziishije akosoe abully adharau akimaliza anaachia comments mbaya mbaya ziwe kweli sio kweli ndo zinakua zimesomwa na kuruin reputation za walioanikwa. this has to end its not funny anymore inauma watoto/wazazi wanapoingizwa na yote haya anatukaniwa baba yake coz she started this asingekua anaanika wazazi wa wenzie nae asingetukanwa blog yake alisema ni ya mashauzi yake fine angeendelea tu kujipost halafu angeona kama yangemkuta haya tatizo she likes drama na cheap publicity!
 
Juzi kapewa makavu na Idris kakauka kama sio yeye.
Mtoto mdogo kamshushua mama mtu mzima.

Ni aibu tu za kujitakia .Ukitafuta heshima kwa nguvu unaishia kuvuna dharau kwa bei chee...

I am embarrassed for her, when will she learn to maintain decorum. Does she always have to be aggressive and attacking other people's personalities?
 
namtetea rachel kwa hili. rachel alikua akicomment kwenye page zinazomtukana mange the same way ambavyo mange alikua akimmention na kuachia comments uturn. kumbuka hawa wawili rachel na mange wanagombana na kuchafuana since hi5 hawajaanza leo ugomvi wao hauishagi unapoa tu. rachel ametulia sana miaka ya hivi karibuni ila mange ni mchafuaji muingiliaji wa familia za watu list ya aliogombana na kuwaanika uturn inajulikana ameumiza familia nyingi kwa kuexpose siri zao like its nothing kwa vile tu yeye ameamua kuanika maisha yake (fake) amejivika umungu mtu sjui hata nimuiteje anajiita activist mtetea wanyonge she is obliged kushauri familia anazojiskia kuzianika ziishije akosoe abully adharau akimaliza anaachia comments mbaya mbaya ziwe kweli sio kweli ndo zinakua zimesomwa na kuruin reputation za walioanikwa. this has to end its not funny anymore inauma watoto/wazazi wanapoingizwa na yote haya anatukaniwa baba yake coz she started this asingekua anaanika wazazi wa wenzie nae asingetukanwa blog yake alisema ni ya mashauzi yake fine angeendelea tu kujipost halafu angeona kama yangemkuta haya tatizo she likes drama na cheap publicity!
Anajulikana ni kichaa, kwa nini ukakoment mambo yanayomhusu kwenye page za maadui wake wanaomtukana?? Rachel kawa her weakest link, ni vyema kila mtu akajali mambo yake. Huu ni ushauri kwa wote wawili kwani wanajulikana ni wachafuzi wa mitandao. Matokeo yake wanachafua hadi koo zao. Anyway kila mtu kapata the taste of her own medicine. Up to them to grow up!
 
Huyu Mange ni hii hii serikali imemlea hadi akafikia kilele cha matusi,
ni kwanini wanamfuga na bila soni wanamchukua kupiga kampeni.
Mange hafai katika jamii ya wastaarabu labda akaishi na wanyama huko msituni.

Na ni kutokana na pia watu kuvamia mitandao kwa ushamba tu .

Kutukana watu na hata watoto au watu ambao hawawezi kujitetea? Hizi si tabia za mwituni hizi?

I am so ashamed of this crop of Bloggers we boast of in Tanzania. It is a shame, maybe some of them should take a crash program in the western countries and see what true Social-networking is all about.

They're a disgrace.
 
Miss Tz mwambie mdogo wako aache kutukana watu mitandaoni, ilivyokuuma wewe ndivyo inavyowauma wenzio. Na kwa mange ukimchokoza jiandae kung'atwa, hata ukishtaki tayari ameshakuanika vibaya na sasa tunajua kuwa kumbe uliliwa tigo kha!!!
Hivi ulimwomba sorry richa adhia kwa kumbagua waziwazi kisa rangi yake???
Hivi na wewe ,ugomvi wake na mdogo wake ungemuhusu nini hoyce na wengine waliochafuliwa kwa tuhuma za uongo?
 
..huyu dada nimemfatilia muda mrefu kwanza ni mtu jasiri (angalia alivyokuwa anawa-expose drug dealers kazi ambayo niliipebda japokuwa more evidence zinahitajika)..lakini hili suala la Hoyce Im so sorry about dat...japokuwa Rachel naye ni source sababu kamtukana sana Baba ya Mange mzee Kimambi so naye akaamua kumrudi ni tabia mbaya kwa kweli kuumbuana mitandaoni wakanywe wote Mange na Rachel ...
 
who is my young sisy wewe...unakurupukia tu watu kwenye social media bila kujua

Ni ukichaa wa hali ya juu kushabikia upuuzi wa huyo mwanamke......of course ni retarded brains wanaoweza kufanya mambo kama hayo........why should you tukana mtu at first place....that's ujinga wa hali ya juu....ni sawa na vichaa wanaokimbizana uchi

Hapo red nakubaliana na wewe
 
Huyu bibi anaona kuolewa na mzungu amepanda beii sana kias kwamba anaeza kutoa shit kipuuzi...hivi yeye ana msaada gani kwa nchi hii zaidi ya kuwashauri akina mwantumu kupata mabwana wa kizungu....AF ndo ajilinganishe na MTU kama hoyce temu.
 
Hoyce is doing a great job yenye impact positive kwa jamii yetu

Yeye all he can do is to kumshauri that hoe septum jinsi ya kubadili wanaume

Typical hoer behavior
 
Back
Top Bottom