unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Hamna mtu anayemwona yupo sahihi naona ujinga wako unakufanya uwe na utando machoni. Huyo ni kichaa anajulikana, ushaur wa bure tu, ukimvaa anakuvaa, umweke ndani usimweke tayar ashakuchafua tena kwa evidence za haja! Huo ustaarabu wa kupima mambo unaujua wewe, si yeye! Ushaur wa bure tu, kaa mbali naye hutaki utaishia kulalamika humu JF.Wewe pia kumbe ni mjinga hivyo...wewe ukitukanwa na mdogo wa mtu na wewe unaanza kumtukana dada yake...hio ni akili au matope?
Alafu wewe kichaa akikukuta unaoga akakuchukulia nguo wewe ukaanza kumkimbiza ukiwa uchi na ukaanza kupiga kelele kwa watu wote wakuone ukiwa uchi...nani ni kichaa kati yako na yule aliyechukua nguo?
Alafu bado mpo humu mnamuona huyo mpuuzi yuko sahihi......Jiulize huyo dada ameshatukana watu wangapi...is that how blogging is supposed to be?