Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #261
Mkuu Mwalla, kwanza ni kosa kumfananisha mwana jf yoyote na mtu yoyote.Ustuingize mkenge we mutuz.
Hi jamaa dogojanja aka CHABURUMA haiwezi na haitaweza.
Uctuingize Chaka maana Huyu Dogojanja kwa kipindi chote alichokaa kwenye post kubwa amefanya vituko tupo
NIMALIZIE KWA HILI...
JEEE.. CHETI CHAKE CHA FORM 4 NI CHA HALALIIII??
Bwana Paskali kwa kuwa upo karibu nae tuulizie hili.
Nilisahau na hili pia.Mkuu Mwalla, kwanza ni kosa kumfananisha mwana jf yoyote na mtu yoyote.
Hilo la vyeti, tembelea mitaa hii.
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, Sasa ni Zamu ya Makonda.Jee Hii Inaweza Kuwa Kweli au ni Uzushi Tu?
Na hii Kwa uandishi huu hata hoja ya kufoji vyeti inapata mashiko
Paskali
Nimekusoma mkuuMkuu Mwalla, kwanza ni kosa kumfananisha mwana jf yoyote na mtu yoyote.
Hilo la vyeti, tembelea mitaa hii.
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, Sasa ni Zamu ya Makonda.Jee Hii Inaweza Kuwa Kweli au ni Uzushi Tu?
Na hii Kwa uandishi huu hata hoja ya kufoji vyeti inapata mashiko
Paskali
Hatufai kivipi wakati saa hizi ndie the second in comand! .Nilisahau na hili pia.
Unakumbuka alivotunukiwa ukuu wa wilaya?
Aliwafanyaje wale wakurugenzi...
Kosa eti kuchelewa kufika kikaoni..
HATUFAIII[emoji83]
Kiukweli kabisa kwa Magufuli style, mwendo wa kuswaga ng'ombe, dogo is the best.Nimekusoma mkuu
Sasa unasemaje kuhusu hiyo mpango yake hapo juu... JE UNAONA ANAFAA KWELI ?
au unalengo la kuhakikisha dogo anaharibu zaidi?
Sizioni kwa sasa hizo command zake.Hatufai kivipi wakati saa hizi ndie the second in comand! .
Paul Makonda: The 2nd most powerful man in Tanzania(?)
Paskali
Cc: pascal mayallaNimekusoma mkuu
Sasa unasemaje kuhusu hiyo mpango yake hapo juu... JE UNAONA ANAFAA KWELI ?
au unalengo la kuhakikisha dogo anaharibu zaidi?
Kukurupuka ndio mtindo wa mentor wake, sasa unashangaa nini? .Sizioni kwa sasa hizo command zake.
Kwakitendo cha Mr.Pombe kumtoa kwenye usukani na kubaki kama abiria tu. Nimeamini HAWEZI ANAHARIBU KWA KUKURUPUKA Na huu naona sasa ni ugonjwa umewaingia viongozi wengi wa hii chama twawala.
Mbaya sana
Anatufaa Kivipii kwamfano[emoji217]Hatufai kivipi wakati saa hizi ndie the second in comand! .
Paul Makonda: The 2nd most powerful man in Tanzania(?)
Paskali
Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.
Kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.
Paskali.
Si nimeeleza kuwa sifa kuu ya Magufuli ni uthubutu, Makonda anauthubutu kuliko Magufuli.Anatufaa Kivipii kwamfano[emoji217]
Tanzania hatutafuti kiongozi wa dini plus hoja ya zamu weka pembeni hatutafuti mnyaparaNI ZAMU YA RAISI MUISLAMU; PUNGUZA MAPENZI PASCO