Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Natumaini umepewa za kutosha keep cool dude wewe upendi nchi yako sijui were no mkenya


Swissme
 
Ha...ha...ha nimefulahishwa na mchangiaji aliyesema ni zamu ya raisi mwisilamu kweli Tanzaninia ni nchi nzuri na raia wake wanapendana sana, tatizo kidogo lipo kwa viongozi wetu tunaowachagua kwa kuwapigia kura, wakati mwingine wanashawishika kufanya mambo yanayo waumiza wananchi. Nchi hii raia tunaunganishwa na siasa, dini, michezo, ujirani, kabila, kuoleana, makazi, shule, urafiki, mapenzi, kazi, nyendo, ushirika na mengine mengi, naomba tudumishe upendo huu. Sisi ni wamoja watoto tulioumbwa na Mungu mmoja. Tuulinde upendo huu. Mi bado mgeni humu nawapenda wote.
 
Tanzania tunagawana urais kwa Dini.

Sasa ni zamu ya MPAGANI ,kama tukikosa tumpe FREE MASON.

Nasema hivyo maana waislamu na wakristo tu ndio wameongoza ila WALOKOLE WA ASSEMBLIES OF GOD,Wasabato,Baptist,Hawajawahi ongoza ama hata kanisa la kristo.

Tukitoka hapo tunakuja BUdha,Hindu,Ahmadiya.

Then Tu akuja singasinga
 
Mkuu Mbase, nimeguswa sana na michango yako, haswa kwa objectivity yako kutanguliza mbele maslahi ya taifa na sio maslahi ya vyama.
By neno bipartisan unamaanisha nini? .

Thanks

Paskali
 
Huyo kateuliwa ki ndugu bwana mayala hata ww ungekuwa umejipendekeza kwa ndugu yako sasa hivi nafasi ya nape ingekuwa yako, lakini kumbuka swali ulilomuuliza kipindi kile mbona hakulijibu, elewa kwa kuna watu wapo bara kabisa kiuongozi lakini hawapo kwenye system lakini hata ww ukipewa hiyo fursa kila mtu atasema wasukuma mnavipaji kumbe hakuna lolote sehemu nzuri ya jujipima uongozi wako uko VP ruhusu siasa za ushindani! Nakuambia mayala waruhusu ushindani wa siasa mwezi mmoja kwa mwaka uone, swala jingine umeona Arusha mbunge wsmemuweka ndani miezi minne wakati wao wskiugawana mkoa Arusha hadi wamegawa pikipiki lakini wakisema lema ahutubie mkutano Arusha yote itakuwa mafuriko, ss huyo ndugu yako nashukuru bro kam boots ili aweke jina!
 
Akitaka aende jimbo la Arusha akaone cha moto, msukuma kawakosea nn ndo maana wanasema ccm kukosoana ni shida au ukiwa na mawazo hasi ni taabu, kwa msukuma kwa kura za wananchi msukuma lazima ashinde ila Kwa kura za majungu atashindwa, yaani kura za uteuzi(kura za majungu).
 
muhusika was kwanza hapo juu anasadifu yanayo tokea Leo kwetu,na kama unamuona na muhusika was Pili yupo sahihi,ni sawa.ila pasco mayalla wewe heshima yako ni kubwa sana hapa jf.
 
Mkuu Mbase, nimeguswa sana na michango yako, haswa kwa objectivity yako kutanguliza mbele maslahi ya taifa na sio maslahi ya vyama.
By neno bipartisan unamaanisha nini? .

Thanks

Paskali
Partisan ni kama hawa wanaoitana nyumbu na book saba, hili ni kundi ambalo linajadili maswali ki itikadi zaidi hata kama hayana maslahi kwa Taifa, Sera za bipartisan ni pale watu wanapoondoa uchama na kuchangia kwa maslahi ya Taifa. nadhani nimeeleweka hapo mkuu Mayalla Maana rahisi kabisa ni kuungana ama kukubaliana katika sera kwa vyama ambavyo hutofautiana kisera. Mfano CHADEMA walikuja na sera za kupinga ufisadi kabla ya uchaguzi mkuu hivyo sera kama hii CCM walitakiwa kukubaliana na CHADEMA hii ndiyo bipartisan.. nadhani nimeeleweka mkuu Paskal
 
ni uthubutu wa hali ya juu kung'ang'ania jina na cheti cha mtu mwingine na kuvifanya ni mali yako.ni wachache sana wenye huu ujasiri katika ufalme huu.
 
Nyie mnataka tuwe na taifa la wajinga na wafogi vyeti. Kama aliweza kuhujumu elimu kwanini ashindwe kuhujumu uchumi
 
Pamoja na yote yanayosemwa kumhusu mtu huyu, bandiko hili bado linasimama.
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…