Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Paschal Mayala ni Msukuma, John Magufuli na Makonda ni Msukuma, ni usukuma ndio unawaunganisha.
 
Hata jambazi au mwasherati wa udhubutu sijui nao 2525 wawe marais kama hii ndiyo wasifu!
 
Naunga mkono hoja.Makonda ateuliwe kuwa katibu mkuu kiongozi ili aandaliwe kuwa Rais wa Jamhuri.

Makonda ni tunu ya taifa.
 

You are Kidding Right? Au Kwa Vile Umesikia Kilimanjaro Kiti cha RC Kiko wazi? Unajua Pascal Mimi Ningelikuwa nataka Mara tu ya Uchaguzi Ungekuta Ni DC au RC lakini for what? Uhuru haki na Demokrasia ni Muhimu kuliko vyote. Ndio Vinavyozaa maendeleo ya Kudumu na Ustawi wa Taifa. There is No SUBSTITUTE for FREEDOM and JUSTICE, Ndio Maana Jomo Kenyatta aliyekuwa na Maisha Mazuri Uingereza akarudi kupigania uhuru hata akafungwa Kama Gaidi, Ndio Maana Nyerere aliyekuwa Na Masters ya Ualimu wa Uchumi na Historia akaacha kazi Akakubali kutukanwa na Kudharauliwa KudaiUhuru, Ndio Maana Dr. Mondulane aliyekuwa Mkufunzi Marekani akarudi na akajitoa mpaka Kifo akidai haki na Uhuru wa Mozambique! Ndio Maana Mandela aliyekuwa Mwanasheria Maarufu akaamua Kuyatoa sadaka maisha yake na ya kukaa na familia yake na ya Mke wake aliyekuwa Mrembo sana Winnie, Ili wengi wawe na Uhuru!


Angalia Maisha aliyoyatoa sadaka!

Ndio Maana Aliyekuwa Mwanafunzi wa Udaktari Steven Biko aliamua Kukatiza Masomo yake ili awaunganishe Watu wake Kupata sio, kidonge cha Panadol au sifa ya kutazama kindege cha Bombardier kikiruka angani bali Uhuru! Na Demokrasia. Akajitoa Mpaka Kifo! Walimponda Kichwa na Kumwaga Ubongo wake bila sababu! Mtu aliyekuwa wa amani, hakuwatisha kwa Mitutu kama walivyomtisha wao! Lakini kwa Maneno yake ya KWELI, "Binadamu wote ni Ndugu" wakamuua! Lakini haya Maneno yanaishi Bado. Je Ndugu yako akiachishwa kazi akiwa na Miaka 40, Utamnyima Mafao yake, Watoto wake wakose shule wafe njaa umwambie asubiri miaka 25 atakapofikia miaka 65! Huku fedha zake ukijengea madaraja na Kununua Vindege ili tu baada ya Miaka mitano useme oneni mimi oneni mimi?





Kuna Mifano Mingi naweza Kukupa, Kuna akina Che, kuna akina Thomas Sankara, Kuna akina Ayende, Kuna akina Sobukwe, Kuna akina Dedan Kimathi, Kuna akina Chris Hani, Kuna akina Walter Sisulu etc.

Magufuli kuna Mambo anayofanya ambayo Ni mazuri au kwa Nia Njema au Kwa Kujitafutia Utukufu Binafsi! Binafsi Anayechukua Uhuru wangu na Haki yangu! Hata angeuza ulimwengu anikabidhi simtaki. Its better to Die Free with smile than to live in fear and Full of tear!

Pascal Magufuli alishakukebehi maana ya Jina Lako! Usitake nimwamini alikuwa Sahihi.
 
Wewe utakuwa bwabwa c bure ww,unatafunwa wewe
 
Mnafiki sana Mwenye hila, Sadist, Mlaghai na Ovyo sana! Hafai kuwa Kiongozi wa Binadamu! Hana chembe ya Ubinadamu, Self Worshiper and a really Coward individual!
 
Mkuu James Comey, wala hujanikwaza, mgombea wa urais hupatikana na kuzingatia sifa na vigezo. Miongoni mwa sifa na vigezo sio kabila, dini, rangi au jinsia.

Ikitokea wenye sifa na vigezo wote ni kabila fulani, then be it!.

Paskali
 

Ashakum si matusi.

Mfano.

Makonda au Magufuli akiwa na uthubutu wa kukupanua matako akuingizie dushe lake kwa nguvu utafurahi sana kwa kuwa kavunja sheria na kuthubutu kukuingizia dushe lake matakoni mwako?

Si unapenda wanaothubutu kuvunja sheria?

Usitake kutuletea uhanithi hapa.
 
Sijui Na Mimi nikavamie Offisi za Uhuru na Mzalendoo kwa silaha ya manati na sime! Ai nani nasema mi La Lekundayo hapana Subutu? Woi, Takata mutu sime! Kila mutu ijue na mimi inausubutu kama ile Jambasi Bashiteeeee!
 
Mkuu James Comey, wala hujanikwaza, mgombea wa urais hupatikana na kuzingatia sifa na vigezo. Miongoni mwa sifa na vigezo sio kabila, dini, rangi au jinsia.

Ikitokea wenye sifa na vigezo wote ni kabila fulani, then be it!.

Paskali
Mkuu Mayala lengo langu sio kupinga mtu mqenye sifa kugombea urais na ana sifa na vigezo vya kufanya hivyo hapana.
My concern ni image labda iliyoanza kujengeka huku mitaani kuwa eti mmeanza "kuteteana" kijamii sio picha nzuri. Ama ieleweke kutetea jambo unaloliamini sio kosa kama haijathibishwa kuwa ni kosa. Lakini je wewe bunafsi huoni kama wakati mwingine anayethibisha (authority) jambo kuwa kosa anaweza kulifanya kuwa si kosa. Na mara nyingi ktk makala zako umekuwa against authority justifying the wrong doing. Najiuliza ama wananchi wengi wanajiuliza rangi mbili unazozionesha kpindi hiki. Mtu akizidi kujuliuliza sana anapata majibu ambayo sio rasmi na sintofahamu nyingi.
 
Huyu jamaa mwanzo nilimmindi sana ila sasa na mkubari kinoma maana nijasiri sana anasubutu tena kuliko magu naomba mungu mh rais asimuondoe serikalini nihazina kubwa na anamambo mengi atatusaidia kama nchi
 
TUNAHITAJI RAISI MWENYE AKILI TIMAMU NA ASIYEKUWA NA PAPARA, I WISH AWE HUSSEIN MWINYI

Hatoturudisha kwenye enzi za ruksa ? Au zile za Rais kuitwa dhaifu ?

Mi naanza kuwa na was was na watu wapolepole, tunaishia kuwa na maufisadi kila kona
 
Kuna jambo ningesema ila nikae kimya!!!
 
Wewe jamaa sijawahi kukuelewa Leo unaweza kumponda makonda kesho ukamsifia kigeugeu
 
Katika post zako nilizozisomaga, hii ni worse..
Nadhani umelazimishwa kuandika hivi au kuna kitu unakitafuta baada ya kuahidiwa..

Unazungumzia sifa kuu ni udhubutu, hivi huo udhubutu uliochukuliwa hadi sasa umesaidia nini Taifa zaid zaidi mambo yanazidi kuwa mrama kila nyanja..
Unajua tufike sehemu tunaposema kuchukua maamuzi a.k.a udhubutu tusi-reason kama watoto bali tupime in 3D. Hivi hayo maamuzi si ndio yamepelekea hasara zaidi kuliko hata yasingechukuliwa. Tafakari vizuri..

Labda nikwambie kuwa hakuna mtanzania mwenye hamu tena na rais mkali, watu wamekoma. Wanaweza ichagua ccm ila sio rais mkali na mwenye majivuni na majigambo tena..
Watu wamemiss upole, staha na unyenyekevu wa waliotangulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…